Hilo ni shamba la bibi.......tena mwambieni huyo mr. dhaifu siku nyingine akome kuingilia 'ma deal' ya warlods, tena ana bahati sana, siku nyingine yatamtokea puani, mbona walio mtangulia hawakufanya hivyo?
watu wengi wanapingana na mawazo na comments za mukamasimba lakini mkumbuke hili ni jukwaa la majadiliano hamna mtu yuko sawa kimazo kuliko mwengine,mwachieni nae mukamasimba atoe mawazo yake kuhusu hili sakata la kongo
Kaka FLASH HIDER, nakupa pongezi kwa elimu unayotupa ambayo wengi tulikua hatuijui:-
nakuomba yafuatayo:-
1. Tafadhali usikatishwe tamaa na baadhi ya wachangiaji, watu tunatofautiana sana, ila nina hakika asilimia kubwa wamefaidika na elimu unayotupatia, hili jukwaa baadhi matusi na kukatisha watu tamaa ndio sera zao
2.Ikiwezekana, tuwekee picha zinazoonyesha madhara ya vita, ili kwa wale wanaoshabikia vita watambue kuwa amani ndio kila kitu katika maendeleo ya nchi
3. Jitahidi kutotoa contacts zako, [email au PM]
Mungu akubariki sana
Watu wengi wanapingana na mawazo na comments za MUKAMASIMBA lakini mkumbuke hili ni jukwaa la majadiliano hamna mtu yuko sawa kimazo kuliko mwengine,mwachieni nae MUKAMASIMBA atoe mawazo yake kuhusu hili sakata la Kongo
Hata mimi namkubali kwa baadhi ya masuala. Lakini hili la kuisaidia M23, sikubaliane nae kabisa. Pia ajenda yake ndani ya DRC inatufadhaisha wengi.
Kitu ambacho nimegundua nikwamba watu wengi hawana information kuhusu jinsi ufaransa iliendelea kuandaa na kusupport FDLR ndani ya kongo mpaka leo,imetoa mafunzo,silaha na fedha kwa FDLR hilo linatambuliwa,sasa kwakua M23 iko against FDLR ndio maana hawa jamaa wameikomalia tatizo hamtaki kuelewa hiyo connection.
sawa kaka,
M23 is now non existent; nenda kuwaunge mkono huko porini
Tumetangaziwa gapa GOMA leo hii ni mwisho wa M23. Sijui ikoje.
Ningekubaliana na wewe kama ungesema viongozi wazuri ni wale waonao mbali,angalia uganda tangu m7 achukue hatamu hakuna mapinduzi inchi inamaendeleo,angalia rwanda ni nchi yenye usalama na maendeleo,mimi sioni tatizo lao,nafikiri tatizo la watanzania nikujipenda na wivu,tz mna utajili mwingi lakini unaliwa na makaburu,mkiona wengine wanaendelea mnaanza kutizama imekuaje anaendelea wakati unamzidi uwezo hapo kuna tatizo tenakubwa sasa mumeamua kufia congo eti kuzuia rwanda na uganda.
Hii habari nimeisikia toka IKulu ya Marekani, BBC wamesema leo mji uliobaki unakombolewa
Kwa taarifa yako hili tusi ni me copy nusu ya matusi uliyo nitukana na kukurudishia mwenyewe,sio kawaida yangu sorry,kingine wewe uko dar unajinywea tangawizi,jinsi unavyo iongea vita utafikiri ni mchezo wa bao,frontline M23 inatisha mapigo yake waulize jamaa walio goma,kule kuhama ni baada ya kuwaumiza jamaa wa FRDC vibaya hapo kibumba na kiwanja,jamaa wakaja na hasira nyingi M23 ikabidi iwapishe tacticaly sio kushindwa au kupigwa,we subiri mtaujua ukweli lakini mimi sifurahii watu kufa cha muhimu malizeni migogoro kwa amani kwani hakuna binadamu aliyeumbwa ndani ya bullet proof.
Huwezi kuwafahamu base yao kwa sasa iko kindu na wanajichanganya na wanajeshi wa UN.Sijawahi kuwaona wafaransa hapa GOMA. Pia kwa nini Wa TZ tu ndiyo wanakufa sina majibu probable ni kwakuwa wao ni lead army na wapo wengi.
K kubwa we!
Anza kwanza kutufundisha Kikongo,jeshi lishasema hakuna taarifa bila msemaji wake kuridhia,umenielewa mwana ya zambe? Mesy!
Jamii nyingine kuangamizwa kwao siyo issue kabisa, genocide ni pale jamii nyingine zinapodai haki kwa watusi tu!
Watu wengi wanapingana na mawazo na comments za MUKAMASIMBA lakini mkumbuke hili ni jukwaa la majadiliano hamna mtu yuko sawa kimazo kuliko mwengine,mwachieni nae MUKAMASIMBA atoe mawazo yake kuhusu hili sakata la Kongo