Kwa taarifa yako hili tusi ni me copy nusu ya matusi uliyo nitukana na kukurudishia mwenyewe,sio kawaida yangu sorry,kingine wewe uko dar unajinywea tangawizi,jinsi unavyo iongea vita utafikiri ni mchezo wa bao,frontline M23 inatisha mapigo yake waulize jamaa walio goma,kule kuhama ni baada ya kuwaumiza jamaa wa FRDC vibaya hapo kibumba na kiwanja,jamaa wakaja na hasira nyingi M23 ikabidi iwapishe tacticaly sio kushindwa au kupigwa,we subiri mtaujua ukweli lakini mimi sifurahii watu kufa cha muhimu malizeni migogoro kwa amani kwani hakuna binadamu aliyeumbwa ndani ya bullet proof.