Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC


FIB kufa waliyataka wenyewe kama mtu ameamua kukuua na wewe inabidi ujihami ukizingatia wao walikua wakishambuliwa sasa wao wameua wangapi?M23 wanadai haki yao lakini kwa sababu ya interest ya mataifa ya nje hususani france,beligium na south afrika,watafanya lolote wasipate haki yao,huu ndio ukoloni mpya wakukandamiza watu ambao wanaonekana kua kikwazo kwa interest zao.
 

Ndugu zanguni mbona mnajiuliza maswali rahisi?Rwanda iliingia pale congo ili kujihakikishia usalama wake dhidi ya interahamwe,baadae kupitia kwa wafaransa kabila mkubwa akawageuka na kushirikiana tena na interahamwe,juzi tena kabila alielewana na rwanda mambo yakawa mazuri lakini the same france akanya ndani tena na wakati huo kabila mdogo alikua na pressure kutokana na kuiba kura,sasa hawa jamaa wakaona mwanya wa kumbana ili kuachana na kigali,how kwa kuwaonda watusi walio kua wakipambana na FDLR kivu,kwani walikua kikwazo ndio kabila kutoa order ya kukamatwa NTAGANDA basi ndio sakata likaanza.
 
kaibadili Rwanda kutokana na madini ya Congo.

Kama nikweli jamaa ni mwanaume kweli,yani uibe congo ujenge rwanda,huyu ni mwafrika wa kwanza,wengine wanapora na kupeleka nje?lakini sio ukweli rwanda imeendelea kutokana na uongozi wake bora rwanda hakuna wakwepa kodi,rushwa,kwa hali hiyo huwezi kukosa pesa za kuendeleza nchi,kama utajili unatokea congo mbona wao masikini? Kagame hicho ni kichwa achana naye.
 
Huyu Mukamasimba ni mgonjwa wa akili na hii ni sababu ya brainwashing ya watoto wa kitutsi waliokulia uhamishoni! Tumesoma nao, kula nao, kwenda nao jeshini na bado hawakubadilika? Ni kweli ni mtu wa propaganda divisheni ya PK intelijensi lakini naona hajaiva. Yuko na uelewa mdogo hata wa history ya nchi yake ambayo iko preserved vizuri sana huko kwao. Anajifanya hamnazo bila sababu. Kama majibu yake yangekuwa kweli basi leo hii tusingekuwa tunazungumzia genocide badala ya mapinduzi ya kijeshi na vita ya wenyewe kwa wenyewe bila ubaguzi wa kikabila kama sehemu zingine Za Africa Zener leadership weaknesses! We are not fools to be taken for granted by your ignorance of history. Mnatafunwa na dhambi ya ubaguzi wa ukabila and nothing else na ndio mnataka na DRC iwe hivyo! Waacheni wapumzike as they have suffered a lot for no reasons!kwa hiyo wanakoishi wahangaza wa Tanzania pia ilikuwa ni sehemu ya Rwanda! Na hayo anayosema ndio wanavyoamini na kujidanfanya kuwa iko siku watarudisha ardhi yao yote! Upuuzi na ideology Za kijinga kabisa Za ki-hitter! Vipi wamasai na Ardhi ya Kenya, wakurya na Ardhi ya Tanzania, wabemba na Ardhi ya Zambia, waruhya na Ardhi ya Uganda? Etc. huyu mfanyabiashara wa kitanzania alikuwa very objective katika maelezo yake kiasi hata cha kutuliza muzuka wa baadhi ya wachangiaji wa kitanzania lakini kwa ushenzi na upuuzi wako wa kibaguzi na Tutsi supremacy ideology umemzengua mpaka nao sasa anasema ukweli mweupe na kuweka diplomacy yake pembeni kuwa nyie ni problem!shenzi kabisa!
 
Uwe unaangaliaga Taharifa ya habari Mkuu.

Correction:Taarifa not taharifa .mi mda wote nacheza na media pia huko Nord Kivu napajua vizuri sana.
Anyway na kama rwanda anawaibia wale wakongo kinawauma nini waTanzania kisa kujikomba jumuiya ya kimataifa na kujifanya mna huruma nani alikuambia dunia ina fair.
Kwa taarifa yenu uliza watu wa kigoma wale wakimbizi wakongo wamefaidika nao kinoma watu walipata ajira kwenye organization za kuhudumia wakimbizi hii leo mnajifanya mnawapenda wakongo kumbe mbwembwe tu .....
 
Du!eti atawatoa FDLR? wakati ndio majeshi anatumia?kwa taarifa yako ilevita inapiganwa na mtanzania na interahamwe,sasa atawakamata vipi?kuchukia interahamwe mimi nawachukia sana kwani walichinja watu wasio kua na hatia kisa ni jinsi walivyo zaliwa tu.
 

mlipe kodi kwa kuwauza dada zenu au? kwa rasilimali gani zilizopo Rwanda ? madini ya damu za wakongo ndizo zinazo inua uchumi wa Rwanda. Kwa mantic hiyo siyo uchumi endelevu. Acheni uporaji na mauaji ya wengine kwa ajili ya sifa ambazo hamna, rudini kwenu milimani mkalime viazi kama alivyowahikutamka kagame
 
yaani wewe unafurahi ku rape watu, kuwakosesha maendeleo kama shule na huduma nyingine za kimaendeleo? mfano sisi hatutafurahia mhutu akitawala amuone mtusi na hivyo hivyo mtusi akitawala asimuone mhutu, that is basic. lakini kwa kauli zako inaonyesha mtusi akifanya jambo basi ni jema akifanyiwa yeye dhambi.
 
MUKAMASIMBA amechanganyikiwa hana alternative zaidi ya uizi
 
Last edited by a moderator:

ni zaidi ya mgonjwa wa akili
 

Sasa kama wengine wanaiba na kupeleka nje, hao Rwanda hayo madini wanayatumia hapohapo kwao?
 

Tatizo WaTZ na Jakaya wenu mnawarudisha nyuma hawa jamaa machungu ya 1994 rwanda huko hii leo hakuna Mtutsi wa la mhutu kuna mnyarwanda Tu.acha kuwagawa hawa jamaa.why dont u say about america kule iraq afghanistan mna baki kumpondea Kagame.na Kinachowasumbua waTZ pa1 na kujikomba kwa wazungu bado maendeleo Hoi miaka 50 ya uhuru hatujawai kua na vita bado tunachechemea lakini Kagame ndani ya muongo 1 kapiga hatua kubwa ya maendeleo pa1 na kutokua na rasilimali anyway mnaishia kwa kusema ile nchi ndogo Je nyinyi nchi kubwa kuna maziwa mito madini gesi inakuja lakini mtoto shule hana dawati mpka wazungu wakija wanashangaa why watoto hawana madawati wanajiuliza je hawa jamaa wanalinda misitu au shida ni nini Conglatulations kwa Kagame kwa kazi unayofanya pa1 na wananchi wa Rwanda.na Uzuri Kagame hanaga maneno au mipasho ni Kazi tu.
 

Kwahiyo wewe ni mtutsi unayechukia wahutu kama kagame?? JE wahutu wakaishi wapi wakati nchi yao ya Rwanda wanaiona hapo nearby
 

Huyu ni mgonjwa kweli kweli, Hongera kwa kumtambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…