MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
We jamaa mbona unapotosha sana?
Kabila kahutubia sana, na wapiganaji wote wamesamehewa na wanatakiwa kujisalimisha wao na Silaha zao zote,
Ila kwa wale wenye makoza ya Kiviza VIONGOZI zaidi ya 50/100 wa M23 hao wataend akujibu kesi zao huko ICC na kwingineko kwani Msamaha huo ni nje ya Rwanda, unafikiri wanajeshi wa FIB na MONOSCU walio uwawa na M23 wakiwa kwenye mission ya UN watapata wapi haki yao kama sio ICC na mahakama zingine xza kimataifa?
FIB kufa waliyataka wenyewe kama mtu ameamua kukuua na wewe inabidi ujihami ukizingatia wao walikua wakishambuliwa sasa wao wameua wangapi?M23 wanadai haki yao lakini kwa sababu ya interest ya mataifa ya nje hususani france,beligium na south afrika,watafanya lolote wasipate haki yao,huu ndio ukoloni mpya wakukandamiza watu ambao wanaonekana kua kikwazo kwa interest zao.