mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Lakini nyie uhuru gani mlio nao? watu mnaongozwa na ccm tangu uhuru bila mabadiliko yoyote na anayejaribu kui challenge anafungwa,kupigwa,na kuuwawa,je huo ndio uhuru? kabla huja tafuta uhuru wa rwanda na uganda anzeni kwenu.
afadhali ungeendelea kunyamaza,umejibu kwa hasira wala hamna point humu,rudi jikoni.
Mkuu taratibu, atakusikia Kagame au MUKAMASIMBA!
but who are you? Unafikiri una mchango upi katika amani ya maziwa makuu?, unafurahishwa na nini katika vita vya m 23 chini ya ufadhili wa rwanda dhidi ya serikali iliyoingia madarakani kidemokrasia ya rais joseph kabila?, may you please answer those questions gentleman, i'll be back soon.
acha wasikie, kama m23 walipewa international platform wakasikilizwa why not fdlr? Tena mimi na suggest vikao ya mazungumzo hayo (fdlr vs rwanda) vifanyike tanzania, kama ambavyo m23 walisikilizwa uganda.
3.watz wa jf mnasema watutsi ni wabaguzi ushaidi naombeni...???
Mbona hizo sensible arguments zako hazionekani?
Hii internet imesaidia watu wengi sana. Sasa hivi na wewe utajiita mtaalamu wa maswala ya siasa!!!!! Ndio maana naona kwenu wanafunzi wanafeli kama vile hawana akili nzuri. Nchi kubwa kama hiyo asilimia 70 ya wanafunzi wanafeli halafu mnajiita wataalamu. Hivi wewe unajua FDLR wako wangapi? Not more than 2,000. halafu unawaita wenye nchi. Wenye nchi ndio hao hapo chini. wote ni wanyarwanda bila kutazama makabila yao.
But who are you? unafikiri una mchango upi katika amani ya Maziwa Makuu?, unafurahishwa na nini katika vita vya M 23 chini ya ufadhili wa Rwanda dhidi ya serikali iliyoingia madarakani kidemokrasia ya Rais Joseph Kabila?, May you please answer those questions gentleman, I'll be back soon.
1.mafisadi mmeshindwa kuwachukulia Hatua why...
Tanzania ina sera ya Kilimo kwwnza why Matrekta mnatumia ICD's...????
Utaziona wapi na wewe ni product ya UNAFIKI.. Be urself kwanza acha UNAFIKI.
1. wapi nimejiita mtaalamu?
2. kwa hiyo kutokana na sentensi yako ya kwanza, conclusion ni kuwa 70% ya wanafunzi Tanzania wana access internet ndio maana wanafeli?
3. kama FDLR wako not more than 2,000, nini kilimshinda kagame kuwaondoa congo miaka yote hii, pamoja na kupewa ruhusa na DRC? How come kila kitu huko rwanda hata kuku asipotaga siku moja tu wanasingiziwa FDLR, kumbe wako 2,000 tu?
4. darasa typical la rwanda ni kama hilo hapo chini-Mpushi, Rwanda.
watusi ni mdudu gani vile, m..e..n..d..e
Ijumaa Congo inabidi isaini mkataba na M23 kuna vitu walirequest hao waasi kwenye Govt.
ya DRC sasa hamuoni Kua m23 ni washindi wa Hii vita.Baamedi kakubali kwenda getto kwa price ya Kiloba 1. Mwisho wa siku TZ walienda kuuza sura.hawa waasi wa kongo why wakivuka mpka kwenda uganda au rwanda je huko wanaenda kufanya nini au wanakaa zone ambayo ni free haina nchi ..??? Tz wame fulia
Mnafiki ni wewe unaye simama kidete kuutetea uongo wakati unaujua ukweli kuhusu tz,kisa eti uzalendo.