mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
Lakini nyie uhuru gani mlio nao? watu mnaongozwa na ccm tangu uhuru bila mabadiliko yoyote na anayejaribu kui challenge anafungwa,kupigwa,na kuuwawa,je huo ndio uhuru? kabla huja tafuta uhuru wa rwanda na uganda anzeni kwenu.
rwanda ndiyo kwenye uhuru, mnaongozwa na utawala wa kifalme na chaguzi za kiini macho! Tanzania tuna periodica elections na vyama huru vya kisiasa vinavyopata ruzuku za walipa kodi, viongozi huru wa kisiasa wanaofanya shughuli zao bila hofu. HIVI GENERALI NYAUMBA, PASTEURI BIZIMUNGU, NYAMWASA, WAPIGANIA UHURU WA FLDR NAO NI WATANZANIA? UNAUELEWA MDOGO SANA!