FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
- #1,281
Watu wanahitaji kuelimishwa rwanda kuna kabila moja tu "wanyarwanda"hayo ya wahutu,watusi na watwa,ni tabaka la watu:wakulima,wafugaji na wawindaji,sasa sikuhizi huwezi watofautisha kuna watu walikua katika tabaka la wafugaji hivi ni wakulima naa kuna wengine walikua wakulima sasa ni wafugaji,hivyo ndivyo wanyarwanda wanavyo define tutsi,hutu and twa.
Kama hakuna mtusi au mhutu, hao watusi unaodai wanaseswa huku GOMA ni wawapi?