Tatizo lako uko GOMA hao FDLR rafiki zako wameisha kuharibu akili kidogo,hao waliokua wafugaji wakiitwa wanaoitwa watusi walikua huko hata kabla ya mipaka kukatwa,tena hao wana connection ya karibu na waliokua wafugaji wa rwanda.
SASA MBONA HAO WAFUGAJI (a.ka. watusi) WANAJIITA WAISRAEL WAKATI HILO KUNDI JINGINE AMBAO SIO WAFUGAJI LINAJITAMBULISJHA KAMA WABANTU TU? HUONI KWA UKWELI HUO KUWA HAYA NI MAKABILA TOFAUTI? MI NADHANI NYIE WAFUGAJI NI WAISRAEL NA HAO WENGINE NDIO WASWAHILI ZAIDI.