Royals
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,466
- 378
Siku zote mbio za sakafuni huishia ukingoni. Walijiona wababe wa kivita katika nchi za maziwa makuu walisahau kuwa kuna Simba ililala fofofo kwa sababu ya amani iliyoko nchini. Pale alipoamshwa akapigane DRCna wanamgambo wa jamaa mara moja makunyazi ya izee yakawatoka ghafla usoni.