vita ya kongo au sinto fahamu ni creation ya ug na rw ili kupata sababu za ku-distabilize drc, maana sjasikia hao Fdlr wakifanya fujo kwa drc au kuua hao banyamulenge hata hao mai mai hata kama wapo sio tishio, hao ADF- al shabab wa UG ni creation ya ug, sijaona domination ya uislam ug wa kufikia kufanya hayo, kwanza madai yao ni nini? kony iliuwa creation ya sudan. m23 na wengineo ni creation ya ug na rw. na kuchoma silaha na mengineyo ilikuwa juhudi ya kupoteza ushaidi wa source ya kusaidiwa na hizo nchi.