MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Usijidanganye huo ni mtego wasaini waweke silaha chini, wakifika drc, wote wanapotezwa. Wewe shangilia tu, ni bora wabaki hapo hapo kampala kwa bosi wao.
Unafikiri M23 ni watoto?Wanawajua sana FRDC mchezo wao,kwani sio mara ya kwanza kuua askari wa kitusi ndani ya jeshi la congo,ndio maana walikataa kua deployed sehemu nyingine wanataka wabaki kivu na mpango ndio huo,mbona mpango wa kuwaua unajulikana? hilo halita wezekana si wajinga kama ufikiliavyo.