Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Naomba nieleze kwa uwazi zaidi kuwa sijawahi kusikia hata siku moja eti wanajeshi wa MONUSCO wanabaka au wanafanya vitendo vya kiharifu dhidi ya raia. Bila shaka wana sheria kali kidogo. Hayo tumeyashuhudia kwa M23 na hata FARDC.

muonee huruma bure, anafikiri askari wa monusco ni sawa na hao mgambo wa rwnda wenye uchu wa damu za watu na ngono.
 
Wapendaamani wote wangependa DRC iwe na amani kwa njia yoyote ile. Mimi siyo muumini wa vita maana nimeona na ninajua vita inafanya nini. Nilipendelea sana haya mambo yasifikie huko. Tamko la serikali ya DRC lionaonesha wazi kuwa na nia ya kumaliza mgogoro huo.

In this respect, there is to be welcomed that despite the provocations of extremists phalanx of M23 which led to the recent clashes last week, some harmonization of views is reached in Kampala on 11 clauses that will the Kampala Declaration ( we prefer this term to the agreement since you can not sign an agreement with something that has ceased to exist, because having self dissolved ) to conclude talks between Kampala government and now former armed movement M23 ​​. We hope with all my heart that the Kampala Declaration will be signed as soon as possible to give a chance and more time for disarmament actions of other negative forces that affect the rehabilitation of North and South Kivu.

Roger Lumbala
On s'achemine lentement a la signature de l'Accord de Paix. relire ce que j'avais déclaré.
"Accord secret pour lequel Raymond Tshibanda et Kalev Mutomb ne voulaient pas que je participe a la commission Sécurité et défense dont je suis président aux négociations, c’était en partie la demande des USA au M23 de retirer ses troupes dans les agglomérations en contre partie que Kabila accepte de signer l'accord de paix en accordant l'amnistie générale pour fait de guerre et fait insurrectionnel, le retour des réfugiés congolais et surtout l’intégration militaire et politique. Le général Makenga a rempli sa part de cet accord, les envoyés spéciaux du Conseil de sécurité, des USA, UE, UA, ainsi que la CIRGL qui ont facilité la résolution 2098 de la Brigade d'intervention de l'ONU exigent que Kabila remplisse la sienne. Kabila veut transformer la victoire diplomatique en victoire des FARDC."
Roger Lumbala On moving slowly a the signing of the peace agreement. Re-read what I said.

"Secret agreement for which Raymond Tshibanda and Kalev Mutomb did not want me to participate the commission security and defence which I Chair in the negotiations, it was in part the request of the USA to the M23 to withdraw its troops in the cities however part that Kabila agrees to sign the peace agreement in granting general amnesty for acts of war and insurrectionthe return of Congolese refugees and especially military and political integration. General Makenga has fulfilled its part of the agreement, the special envoys of the Security Council, of the USA, EU, AU, as well as the ICGLR which facilitated resolution 2098 of the Brigade of the United Nations require that Kabila meets his own. Kabila wants to transform the diplomatic victory to victory of FARDC."
 
Sidhani kama Serikali ya DRC itakubali wabaki KIVU. Katika masuala matatu ambayo serikali inataka yatekelezwe na M23 ni :

1. Amnesty itatolewa for indivual basis na siyo kwa group. Bila sahka haya wana point, huwezi ukatoa amnesty kwa baadhi ya viongozi wa M23 na askari wao walio katika UN sanction list na wengine wamefanya makosa makubwa ya kivita dhidi ya raia.


2. Intergration pia ni kwa individual basis na siyo kwa group. Hapa pia wana point, huwezi uka Intergrate katika FARDC na askari wengine kutoka Rwanda, Uganda, watoto nk.


3. Wale watakaoonekana wana sifa za kuwa intergrated katika FARDC watasambazwa katika maeneo mbalimbali siyo kubakia GOMA. Hapa napo kwa matazamo wangu wana point. FARDC ni jeshi la kitaifa, hivyo unaweza kufanyia kazi sehemu yoyote ile. Pili hawataki kurudia makosa.


Unafikiri M23 ni watoto?Wanawajua sana FRDC mchezo wao,kwani sio mara ya kwanza kuua askari wa kitusi ndani ya jeshi la congo,ndio maana walikataa kua deployed sehemu nyingine wanataka wabaki kivu na mpango ndio huo,mbona mpango wa kuwaua unajulikana? hilo halita wezekana si wajinga kama ufikiliavyo.
 
wanaudhi sana ndugu yangu, lakini afadhali watanzania wengi na ulimwengu kwa ujumla tunaanza kuelewa vizuri tabia mbaya za watusi

Speak for yourself. Watanzania wengi tunapendana, tumeoana na tumezaa nao sio hapa wala tanzania. Ni wewe tu mwenye chuki itakayokutafuna mpaka siku ya kufa ndie mwenye kupiga makelele. Matatizo yote mliyonayo hapo kwenu sijawahi kukuona ukitoa comment yoyote. So, najua wanyarwanda walikufanyizia kwa hiyo unatafuta sympathy kwa watanzania ili wakusaidie urudi kwenu.
 
Speak for yourself. Watanzania wengi tunapendana, tumeoana na tumezaa nao sio hapa wala tanzania. Ni wewe tu mwenye chuki itakayokutafuna mpaka siku ya kufa ndie mwenye kupiga makelele. Matatizo yote mliyonayo hapo kwenu sijawahi kukuona ukitoa comment yoyote. So, najua wanyarwanda walikufanyizia kwa hiyo unatafuta sympathy kwa watanzania ili wakusaidie urudi kwenu.

watanzania tumekuzwa kuwa wamoja na hii ndiyo silaha yetu kubwa ya ushindi dhidi ya wapinga amani, wole wako unayejivunia utusi na si ubinadamu.
 
Niliahidi kuweka picha lakini kama vile nashindwa. Nielekezwe namna ya ku- attach picha hapa.
 
Kaka MUKAMASIMBA, haya tena kwangu ni mapya. USA ndo mamemaliza vita? Hakika ukiendelea kuwa mbishi hata kwa mambo ya wazi basi sidhani kama unafaa kuendelea kujadiliana na wana JF humu. M23 walikataa kusaini kule Kampala wakataka kuanzisha vita ili kuilazimisha Serikali itii matakwa yao. Mchezo huo wamekuwa wakiutumia mara kwa mara. Hapo ndiyo ukawa mwanzo wa vita na matokeo yake wakasambaratishwa wao. Toka vita ianze sijawahi kusikia habari ya USA. Kwanza sijawahi kuwaona USA hapa DRC toka nikae huku.

kwenye milima yote ile Bunagana, Ruchuri, kabla ya kufika mlima mbuzi ni usa walifanya kazi eh!
 
Hili ni janga,kwa watu waofikilia kuangamiza watusi msahau kabisa "watajaribu lakini hawatafaulu"huwezi mchukia binadamu mwenzako mungu akupe support kwa vyovyote vile atakufanyia kitu ambacho kitakudhalilisha mbele ya yule unaye chukia.

Tutsi ni kitu cha kukifuta duniani. Kumbe warwanda walikuwa wako sahihi kabisa
 
Wakiona vipi basi wote warudi Rwanda kwenye roots zao, wabanane huko huko au wajifunze uzazi wa majira. Nayasema haya kutokana na nyinyi kulalamika ovyo ovyo - kila siku mnadai mnaonewa, cha ajabu hamjawahi hata siku moja kukaa chini mkajichunguza tabia zenu 2wards binadamu wenzenu zikoje, mkifanikiwa kusahihisha/jirekebisha tabia zenu nakuhakikishia hakuna atakaye wanyoshea kidole. Kumbuka hakuna binadamu yoyote duniani ambaye anataka kuishi karibu na mtu ambaye yuko arrogant by default and highly unpredictable.

Ni watu wasioweza kuishi na binadamu wengine tofauti na wao.
Cha msingi warudishwe back to their origin wakae wenyewe waishi kwa amani kwa sababu wameshindwa kuishi na watu wa tofauti na wao.
Kwahiyo ili amani iwepo wakaishi wenyewe huko Rwanda kwenye nchi yao nzuuuri.
 
wanaudhi sana ndugu yangu, lakini afadhali watanzania wengi na ulimwengu kwa ujumla tunaanza kuelewa vizuri tabia mbaya za watusi

We mtanzania wa wapi?nilicho gundua watanzania halisi wala hawa neno lakini hii miterahamwe inatokwa povu ili wasiishitukie pole.
 
Kaka MUKAMASIMBA, haya tena kwangu ni mapya. USA ndo mamemaliza vita? Hakika ukiendelea kuwa mbishi hata kwa mambo ya wazi basi sidhani kama unafaa kuendelea kujadiliana na wana JF humu. M23 walikataa kusaini kule Kampala wakataka kuanzisha vita ili kuilazimisha Serikali itii matakwa yao. Mchezo huo wamekuwa wakiutumia mara kwa mara. Hapo ndiyo ukawa mwanzo wa vita na matokeo yake wakasambaratishwa wao. Toka vita ianze sijawahi kusikia habari ya USA. Kwanza sijawahi kuwaona USA hapa DRC toka nikae huku.

Utaelewaje wakati wewe mfanyabiashara tu?we endelea kuzurura huko congo angalia sana usije chomolewa tukakosa habari.
 
Huyo mkamasimba atakuwa analipwa hela ndefu sana kaa hizi propaganda, jamaa hachoki kujibu lo! Ana roho ngumu ama kweli huyu ni mtutsi halisi tena atakuwa kazaliwa goma katkati ya mapambano, huyu anatakiwa kupewa tuzo ya mtu wa propaganda wa mwaka aa jf.
 
We mtanzania wa wapi?nilicho gundua watanzania halisi wala hawa neno lakini hii miterahamwe inatokwa povu ili wasiishitukie pole.

watanzania wanapatikana kwa wingi TANZANIA, nami nipo TANZANIA. Utaimba sana interahamwe lakini muhimu ni lazima watusi muelewe hakuna binadamu aliyebora zaidi mbele ya muumba wake
 
Back
Top Bottom