Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Usijidanganye huo ni mtego wasaini waweke silaha chini, wakifika drc, wote wanapotezwa. Wewe shangilia tu, ni bora wabaki hapo hapo kampala kwa bosi wao.

Unafikiri M23 ni watoto?Wanawajua sana FRDC mchezo wao,kwani sio mara ya kwanza kuua askari wa kitusi ndani ya jeshi la congo,ndio maana walikataa kua deployed sehemu nyingine wanataka wabaki kivu na mpango ndio huo,mbona mpango wa kuwaua unajulikana? hilo halita wezekana si wajinga kama ufikiliavyo.
 
Hili ni janga,kwa watu waofikilia kuangamiza watusi msahau kabisa "watajaribu lakini hawatafaulu"huwezi mchukia binadamu mwenzako mungu akupe support kwa vyovyote vile atakufanyia kitu ambacho kitakudhalilisha mbele ya yule unaye chukia.
 
Wee cjui Mukamasimba,iyo long term objective yenu mliyokua mnataka muitekeleze kwenye hii region imeshashtukiwa,niwashauri tu kitu.kaanzeni upya kuinfiltrate Kenya na Uganda coz nadhani ndo bado maubongo yao yamejaa ubaguzi wa kijinga. Na ole wenu mnyanyue vipua vyenu tena pande hizi,i swear mtapenda.tutachimba adi tujue mlipotokeaga tuwaswage kama mbuzi! Nyie hamna kitu kingine mnaweza kufikiri zaidi ya ubabe wa kijingajinga tu?
 
Flash Hider,
asante sana Kwa ufafanusi mzuri kuhusiana na shida wenzetu wa DRC wamekuwa wakizipata tangu wao ate Uhuru! Changamoto nyingi zinatokana na ulafi wa Jumuiya ya kimataifa Kwa utafiri wa DRC! Maskini na sisi tunao, sasa sijui tutsjatumbikia huko!?​
 
images.jpg
 
Mbona wametulia kampala wanakula kuku tu,wanasubiri kabila asaini,lakini huoni kama M23 wameshinda inawezekanaje kusaini mkataba na aliyeshindwa?
Ni sawa. Wametulia Kampala wanakula kuku kwa mabwana zao.
 
Subirini mtapata habari kamili kilichowapata JWTZ katika uwanja wa mapambano,mbona maneno mengi kama mnapumuliwa kisogoni?

Muulize Makenga kule Kampala aliko kimbilia ni kwa bwana wake? Walikuwa wanabaka wacongomani na sasa kule wanapumuliwa kisogoni?
 
Muulize Makenga kule Kampala aliko kimbilia ni kwa bwana wake? Walikuwa wanabaka wacongomani na sasa kule wanapumuliwa kisogoni?

Mbona kazi ya kubaka yenu,hauja sikia kinacho endekea bunagana sasa? yani kubaka kwenda mbele,subiri hiyo scandle itaibuka hivi karibuni.
 
Unafikiri M23 ni watoto?Wanawajua sana FRDC mchezo wao,kwani sio mara ya kwanza kuua askari wa kitusi ndani ya jeshi la congo,ndio maana walikataa kua deployed sehemu nyingine wanataka wabaki kivu na mpango ndio huo,mbona mpango wa kuwaua unajulikana? hilo halita wezekana si wajinga kama ufikiliavyo.
Wakiona vipi basi wote warudi Rwanda kwenye roots zao, wabanane huko huko au wajifunze uzazi wa majira. Nayasema haya kutokana na nyinyi kulalamika ovyo ovyo - kila siku mnadai mnaonewa, cha ajabu hamjawahi hata siku moja kukaa chini mkajichunguza tabia zenu 2wards binadamu wenzenu zikoje, mkifanikiwa kusahihisha/jirekebisha tabia zenu nakuhakikishia hakuna atakaye wanyoshea kidole. Kumbuka hakuna binadamu yoyote duniani ambaye anataka kuishi karibu na mtu ambaye yuko arrogant by default and highly unpredictable.
 
Mbona kazi ya kubaka yenu,hauja sikia kinacho endekea bunagana sasa? yani kubaka kwenda mbele,subiri hiyo scandle itaibuka hivi karibuni.
Mkamasimba yaani mpaka sasa unaendelea na propaganda zako zisizo na tija, wapi uliwahi kusikia majeshi yaliyo kuwa trained kwenye Colleges za kijeshi za kuaminika wanajingiza katika biashara ya kubaka wanawake na watoto? Ragtag jeshi kama M23 ndio wenye tabia kama hizo, mtu uwezi kutegemea binadamu anaye jifunza porini jinsi ya kutumia silaha ukategemea atakuwa na nidhamu. Angalia hali ya kiafya ya Kammanda wa M23 aliye kimbilia Uganda - unaionaje, tumelezwa humu kwamba alikuwa na tabia ya kulazimisha wanawake kufanya mambo ya kishenzi, je kawahathili wakina mama wangapi muda wote alio kuwa anapigana vita vya kuvizia, yaani anawahathili wa Congoman na vita vya silaha na vita vya kibailojia vya kueneza magonjwa hatarishi!!!
 
Unafikiri M23 ni watoto?Wanawajua sana FRDC mchezo wao,kwani sio mara ya kwanza kuua askari wa kitusi ndani ya jeshi la congo,ndio maana walikataa kua deployed sehemu nyingine wanataka wabaki kivu na mpango ndio huo,mbona mpango wa kuwaua unajulikana? hilo halita wezekana si wajinga kama ufikiliavyo.

m 23 ni zaidi ya watoto, walifanya ushawishi mkubwa kwa wananchi wa kivu ili wapinge ujio wa JWTZ lakini kwa sababu zao za kitoto hawakufua dafu JWTZ wakazidi kushangiliwa zaidi ya MFALME
 
mkamasimba yaani mpaka sasa unaendelea na propaganda zako zisizo na tija, wapi uliwahi kusikia majeshi yaliyo kuwa trained kwenye colleges za kijeshi za kuaminika wanajingiza katika biashara ya kubaka wanawake na watoto? Ragtag jeshi kama m23 ndio wenye tabia kama hizo, mtu uwezi kutegemea binadamu anaye jifunza porini jinsi ya kutumia silaha ukategemea atakuwa na nidhamu. Angalia hali ya kiafya ya kammanda wa m23 aliye kimbilia uganda - unaionaje, tumelezwa humu kwamba alikuwa na tabia ya kulazimisha wanawake kufanya mambo ya kishenzi, je kawahathili wakina mama wangapi muda wote alio kuwa anapigana vita vya kuvizia, yaani anawahathili wa congoman na vita vya silaha na vita vya kibailojia vya kueneza magonjwa hatarishi!!!

muonee huruma bure, anafikiri askari wa monusco ni sawa na hao mgambo wa rwnda wenye uchu wa damu za watu na ngono.
 
Sijapatikana kwa muda kama wa saa 60. Nilienda sehemu moja inaitwa RWINDI hapa GOMA katika hali ya kujitafutia kipato. Ninaweza kusema nimenufaika na hali ya usalama iliyopo kwa sasa kwani awali ilikuwa siyo rahisi kwenda huko. Sasa nimerudi na kama nilivyoombwa na baadhi ya wanajamii, ifuatayo ni updates mpaka sasa:

1. Hali hapa GOMA ni shwari kabisaa. Watu wanafuraha na wanaendelea na shughuli zao za kila siku. Barabara ya GOMA – KIWANJA imefunguliwa rasmi (ambayo hata mimi niliipita jana) baada ya kuwa imefungwa na M23 kwa kipindi cha zaidi ya miezi 19. Ilikuwa inatumika kama mojawapo ya vyanzo vya uchumi kwani ukipita njia hiyo utakutana na askari wa M23 ambao kama si kukupora na kukuua, basi watakulipisha kodi ya njia. Magai yalikuwa yanatoa kuanzia DOLA 100-500 kutegemea na ukubwa wa gari na mazigo uliobeba.

2. Huko Uganda ni kweli Sultani Makenga na baadhi ya askari wake wapo huko hatima yao inategemea makubaliano kati ya DRC na Uganda kuhusu kurejea kwao. Watu wana hofu kubwa na idadi iliyotajwa ya askari waliovuka mpaka na Makenga kuwa 1500. Inaonekana huo ni mchezo mchafu unaotaka kufanyika kati ya Uganda na Rwanda kuongeza idadi hiyo ili endapo DRC watakubali kuwafanyia integration, basi wafanikiwe ku-infiltrate idadi kubwa ya asakri kwenye jeshi la DRC. DRC wamelifahamu hilo na wapo makini sana.

3.Mazungumzo ya Kampala yalisimama. Awali ilidaiwa watasaini ijumaa lakini taarifa zilizopo ni kuwa DRC imekataa kuuita kama AGREEMENT maana AGREEMENT hutiwa saini baina ya pande mbili. Kwa kuwa sasa M23 haipo tena wao wanaita kama DECLARATION. Wamedai kuwa wao wataandaa masuala ambayo lazima hao M23 walioko huko wayafuate, kama hawatasaini basi wao watarudi DRC na hatima ya hao watu waliovuka mpaka itakuwa chini ya Jumuiya ya Kimataifa.

Kama kuna lolote nimeliacha niulizwe.
 
Back
Top Bottom