Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Nimesikiliza BBC leo jioni,kuna kundi jipya lina jiita M18.hao ninani na wametokea wapi?
 

Na JWTZ halitaweza kwenda kuwasaidia wakenya huko Somalia, HAITATOKEA.
 

Kuna article moja aliandika Prof Baregu kuhusiana na mgogoro wa DRC. Ndani yake akachora matrix inayoonesha matrix ya key players (wengi wao ni wa kutoka nje na hasa nchi zilizoendelea) na web za interests zao zilivyoji-intetwine katika instability ya DRC. Kwa mtizamo wangu naungana na Baregu kuwa hawa players wasipokubali kuachia interests zao ndani ya DRC nchi hiyo haiwezi kutulia. Kwa msingi huu hata mission hii haina jipya kwani hailengi kutatua chimbuko la utete wa DRC bali kuwafundisha adabu M23 ambao hawakuwapo awali na bado DRC haikuwa shwari kabla yao.
 

 
Last edited by a moderator:

wengi wawapiganaji wa m23 ni force labour wakipata upenyo wana toroka kufuata majeshi ya serikali na FIB ya UN, na watu wameisha jipanga baada ya hapa ni wapi ku-secure the area na kuhakikisha hii mambo haitokei tena. SADC wataweka base huko huko virunga wanajeshi wana badilishwa after every 6 month, sasa hao banyamulenge aka Tutsi tutaona wata survive vipi na wakileta za kuleta tutamfuata financer wao, naye anajua ndio maana kawa kimya sasa hivi, jamaa wana sikilizia mizinga inavyo fanya kazi. baeleze nduguzo hii vita hawaiwezi walionyuma yake ni wakali Bongo, SA, Angola, Zimbabwe, Namibia just to mention a few.
 
Bila shaka siyo mfanyabiashara! Ni TISS uliyeko ikulu na umeamua kutupa taarifa za kiundani, ahsante!!!!

Swali: unadhani JWTZ wanaweza kuiweka DRC iwe yenye amani kwa njia ya bunduki?!!!

Pili, unadhani ni bora kuvunja EAC na kujitenga na majirani zetu uganda, kenya na Rwanda kwa ajili ya Amani ya DRC?!!

Tatu, unafikiri marekani wapo tayari kuacha kuiba madini hapo DRC, kwani kuna madini muhimu ya kutengeneza simu, dhahabu, na mengine kibao?!!

Nijibu kaka!!
 
Mtajibeba mwaka huu. Vipi lile dili la kuwakamata na kuwalazimisha vijana kwenda kuwasaidia M23 limeshindwa? Watanzania ni wakali wa ujasusi. Mtakoma mpaka muache uhuni wenu, tunajua kila linaloendelea Ikulu yenu. Hata PK akijamba, vijana wetu wanajua kwamba PK leo kajamba muda fulani. Unacheza na wa-Tz. Piga haoooooooooooo intarahamwe na wanyamulenge! Na hatukubali peace talk yoyote from now mpaka PK akimbie ofisi
 

ni miaka 17 un au munsco wapo Kongo na hakuna Amani, mazungumzo na hawa banyamulenge aka tutsi hawataki yaishe na mpango wa muda mrefu ilikuwa ni kuigawa east congo iwe kwenye empire ya bahima. Hivyo solution yake ilikuwa si mazungumzo bali ku-disarm hao watu kwa hiari au kwa mtutu, hawawezi kuchezea watukwa miaka 17.
eac haito vunjika ni kipindi cha mpito tu, na kwani hawa viongozi wa nchi zote hizo si wa kudumu, kila moja ataondoka kwa wakati wake. na automatically mambo yata ji adjust kutokana na forces za uchumi, na fursa.
USA hawawezi kuiba madini kwa kutumia M23, wao wakitaka wanaingia mikataba na mwenye nchi. ingekuwa hivyo Taylor wa Liberia asinge fungwa. nchi za west walikuwa na sympathy tu na Rwanda baada ya mauwaji ya kimbari, na source ya kuondolewa kwa Mabutu ni ufadhili wa nchi kadhaa Ug, Tz na Banyamulenge.
 
mods naombeni mu i sticky hii thread.. Tuna mengi ya kujifunza. Na hakikaka haya ndo mambo ya kujaldili tunapata ELIMU.
HAKIKAKA NAKUPONGEZA FLASH HIDER.
UMEFANIFANYA NIANZE TEMBELEA HAPA JUKWAA KWA ELIMU.
SI KILA SIKU TUNAWAJADILI MAFISADI YALIYOJAZANA CHADEMA NA CCM.

PLEASE MODS, STICKY THIS..cc Invisible
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mkuu kwa thread hii.Mimi pia ni mtz nipo happa gisenyi mpakani mwa goma( Drc ) na rwanda.Namjibu kaka yangu kuwa ubalozi wa drc upo wazi kigali haujafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…