Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mada nzuri sana ,nimesoma mstari kwa mstari ,ila nikiongezea bila ya ushahidi ,Majeshi ya Tanzania yalimsaidia Kabila kabla ya hawa,M23kuibuka ,pale ulipotaja Zimbabwe na wengine ,bado Wajeshi waTz walikuwa mstari wa mbele ,kwani kila walipokatisha majeshi basi walikuwa wanazungumza kiswahili tena kiswahili swafi cha Kitanzania kwa maana huna haja ya kuuliza ni majeshi wa wapi.
Naamini hata WaKenya watatuhitaji kwenda kuisafisha Somalia.
Nimeeleza awali kuwa commitment ni kubwa zaidi kwani kikosi hiki kinatoka Africa. African problems can best be solved by africans themselves. Unadhani wahindi, Pakistan, Bangradeshi wana uchungu na waafrika? Pili nasikia UN imewaongezea uwezo wa kisheria wa kuapambana na waasi hawa.
Ndugu zanguni hasa Watanzania,
Mimi ni mtanzania ninafanya biashara zangu huku DRC Goma kwa muda mrefu. Ninaishi hapa GOMA na nimekuwa nikisafiri kwenda sehemu mbalimbali ndani ya DRC.
Nimekuwa nikifuatilia mijadala kuhusu mgogoro wa M23 na serikali ya DRC, nimegundua watu wengi hawapo informed on what is going on.
Sasa kwa wale wenye swali au chochote wanachotaka kujua kuhusu mgogoro huu, mapigano yanayoendelea, na ushiriki na mapokeo ya WaKongo kuhusu JWTZ, mnaweza kuniuliza.
Nipo hapa kwa karibu miaka kumi na mbili sasa, bila sahaka nina kitu kipya ambacho huenda ninaweza kuwahabarisha.
FLASH HIDER naweza kusema umejaribu na kupa 50%,kitu ambacho sikukubaliana na wewe nijinsi unavyo iweka tz juu sana katika hii vita,hajaongea kuhusu angola wao ndio wako mbele katika mapambano dhidi ya m23,kingine nimekua na wasiwasi na location yako kwani rwandair hajawahi kutua goma,kingine m23 haita isha kwani hivi wamebadilisha tactic sasa wameanza golira warfare ndio maana wamehamia virunga mountains,na itakua vita ndefu sana,nakushukuru umejaribu kuwaelimisha wabongo.
Mtajibeba mwaka huu. Vipi lile dili la kuwakamata na kuwalazimisha vijana kwenda kuwasaidia M23 limeshindwa? Watanzania ni wakali wa ujasusi. Mtakoma mpaka muache uhuni wenu, tunajua kila linaloendelea Ikulu yenu. Hata PK akijamba, vijana wetu wanajua kwamba PK leo kajamba muda fulani. Unacheza na wa-Tz. Piga haoooooooooooo intarahamwe na wanyamulenge! Na hatukubali peace talk yoyote from now mpaka PK akimbie ofisiFLASH HIDER naweza kusema umejaribu na kupa 50%,kitu ambacho sikukubaliana na wewe nijinsi unavyo iweka tz juu sana katika hii vita,hajaongea kuhusu angola wao ndio wako mbele katika mapambano dhidi ya m23,kingine nimekua na wasiwasi na location yako kwani rwandair hajawahi kutua goma,kingine m23 haita isha kwani hivi wamebadilisha tactic sasa wameanza golira warfare ndio maana wamehamia virunga mountains,na itakua vita ndefu sana,nakushukuru umejaribu kuwaelimisha wabongo.
Bila shaka siyo mfanyabiashara! Ni TISS uliyeko ikulu na umeamua kutupa taarifa za kiundani, ahsante!!!!
Swali: unadhani JWTZ wanaweza kuiweka DRC iwe yenye amani kwa njia ya bunduki?!!!
Pili, unadhani ni bora kuvunja EAC na kujitenga na majirani zetu uganda, kenya na Rwanda kwa ajili ya Amani ya DRC?!!
Tatu, unafikiri marekani wapo tayari kuacha kuiba madini hapo DRC, kwani kuna madini muhimu ya kutengeneza simu, dhahabu, na mengine kibao?!!
Nijibu kaka!!