Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Mi nasema siku zote kuwa hawa M23 wanakuwa na jeuri kutokana na kuungwa mkono na Uganda na Rwanda. Kama kweli kabila ameongeza nguvu jeshi lake basi awapige Rwanda toka mpakani mpaka Kigali na ikiwezekana wamkamate Kagame na kumuua ili iwe fundisho to other perpetrators in the region. Ukanda wetu hauwezi kuwa na amani tukiwa na Museveni na Kagame hata siku moja, hapa kilichobaki ni kumuua tu Kagame na kuwapa wengine mafunzo.
 
Iyo amri labda umepewa mwenyewe. Muache mdau aelimishe watu kuhusu mgogoro huu ili wajue umuhimu wa kuruhusu jeshi letu kusaidia huko au tunabebwa na agenda za kimataifa
Ndugu hii amri ilitolewa na JWTZ na inamgusa kila mmoja wetu hapa nchini. Labda kama na wewe unaishi nje ya nchi kama huyu ndugu anayedai yuko GOMA. Pili nakushauri uachane na huu utamaduni wa kutafuta mchawi nje ya nchi kwa kila uamuzi tunaoufanya kama nchi. Mimi simo kati ya watu wanaoamini kuwa tumesukumwa na agenda za kimataifa kwenda Kongo. Ninaamini kuwa Serikali yetu ilifanya maamuzi ya kwenda Kongo kwa kuzingatia hali halisi ya mambo ilivyo huko na kwa manufaa ya nchi yetu na bara la Afrika kwa ujumla wake.
 
ninafanya hivi kwa nia njema na nadhani sijaharibu hali ya hewa
Nilikuwa nakupa angalizo tu hasa kwa kuzingatia kuwa umetueleza kuwa upo nje ya nchi na hivyo inawezekana hukuwa na taarifa na amri ya JWTZ. Ila kama unadhani kuwa una nia njema na itakuepusha na matokeo ya kueleza mambo ya vita huko Goma wewe endelea tu kuvolunteer taarifa za vita.
 
umesema m23 wapo bunagana mpakani na uganda ikiwa na maana wanaweza kukimbilia uganda na sio rwanda.kwani wamesambaa kiasi gan?

Ni kweli kabisa moja ya NGOME kuu ya M23 ni Bunagana ambapo ni moja ya entry point ya kuingia DRC kutokea Uganda. Hebu tafuta ramani ya Rwanda, Uganda na DRC itaona jinsi nchi hizi zilivyopakana. Kuna uwezekano mkubwa wakakimbila Uganda au wakajisalimisha wakiwa pale. Leo vyombo vya habari hapa GOMA vinadai Makenga kakimbilia Rwanda.
 
Ndugu hii amri ilitolewa na JWTZ na inamgusa kila mmoja wetu hapa nchini. Labda kama na wewe unaishi nje ya nchi kama huyu ndugu anayedai yuko GOMA. Pili nakushauri uachane na huu utamaduni wa kutafuta mchawi nje ya nchi kwa kila uamuzi tunaoufanya kama nchi. Mimi simo kati ya watu wanaoamini kuwa tumesukumwa na agenda za kimataifa kwenda Kongo. Ninaamini kuwa Serikali yetu ilifanya maamuzi ya kwenda Kongo kwa kuzingatia hali halisi ya mambo ilivyo huko na kwa manufaa ya nchi yetu na bara la Afrika kwa ujumla wake.

Mkuu hata ukitafuta mchawi ndani, ukweli utabaki pale pale kuwa masuala mengi ya ndani yana mizizi toka mataifa ya nje. Na huu utamaduni haujaanza leo, tangu mlivyokubaliana na sera za IMF na World Bank za kufufua uchumi miaka ya 80 mpaka leo, maamuzi ya nchi yana mikono ya wageni. Angalia Bajeti ya nchi inawategemea kiasi gani wageni hawa, je unadhani wanawapa development bugdet kwa maslahi gani? Kwenye huu mgogoro wa DRC, majeshi ya UN yamekaa kule kwa zaidi ya miaka 10, umeshawahi kusikia wameingia front kupambana na waasi? Hapana! Je ni kwanini? na kwanini JWTZ waende tu ndani ya mwezi na kuzama front kupambana na waasi head to head? Majeshi ya SA pia yalikuwepo lakini JWTZ wali-take leading role! Tafuta taarifa za ndani, kuna kitu utabadili kwenye unachoamini. Kuna vitu vingi vimejificha hapa na havipo na havitakuja kuwa straight hata siku moja.
 
Jamaa Mbishi,

Taratibu ingawa unayoyasema ni ukweli mtupu. Kwa mtazamo wangu mimi ni kuwa pindi RDC itakavyojijenga(sijui lini) bila shaka hakuna nchi itakayoigusa katika ukanda wetu huu. Unajua kitakwimu nchi hii ina watu zaidi ya Milioni 74, ndiyo nchi yenye madini mengi kuliko zote katika Africa, ni nchi yenye vyanzo vingi vya maji katika africa na ya tatu katika dunia, ina ardhi yenye rutuba, ina hali ya hewa nzuri, misitu nk. Economy is directly link with security. Ukiwa na uchumi mzuri utakuwa na jeshi imara, hivyo unaweza kujilinda na maadui wa ndani na nje. Ila Kagame na M7 UKWELI NI HATARI.

Mi nasema siku zote kuwa hawa M23 wanakuwa na jeuri kutokana na kuungwa mkono na Uganda na Rwanda. Kama kweli kabila ameongeza nguvu jeshi lake basi awapige Rwanda toka mpakani mpaka Kigali na ikiwezekana wamkamate Kagame na kumuua ili iwe fundisho to other perpetrators in the region. Ukanda wetu hauwezi kuwa na amani tukiwa na Museveni na Kagame hata siku moja, hapa kilichobaki ni kumuua tu Kagame na kuwapa wengine mafunzo.
 
Asante sana. Naona una uwezo mkubwa wa kiuchambuzi kuliko mfanya biashara wa kawaida. Naomba utujuze wana jamvi. Hivi kile kikundi cha FDLR kiko vitani pia? Na kama ni hivyo, kina pambana na nani? na kama siyo hivyo kiko wapi na kina fanyanya nini? Na pia kina ukubwa na uwezo gani kijeshi na kisiasa? Je, kina mahusiano ya namna gani na raia wa drc? Kikiwa ndani ya DRC kinajihusisha na visa vya ubakaji na mauaji ya wanawake, watoto na vikongwe NA pia kutumia askari watoto kama ilivyo kwa M23? Tujuze kaka
 
Kama nimekosa nisamehemwe, sijui kama taarifa hizi nilizozitoa ni siri kwani vyanzo vyake ni huru kama magazeti, wenyeji na uelewa kidogo wa masuala. Masuala ya Jeshi sijagusia kabisa kwani sijui na wala sijui chimbuko la JWTZ kuja huku. Kubwa ninalolizungumzia ni mtazamo wa wananchi wa DRC dhidi ya msaada wa JWTZ.

Mkuu hata ukitafuta mchawi ndani, ukweli utabaki pale pale kuwa masuala mengi ya ndani yana mizizi toka mataifa ya nje. Na huu utamaduni haujaanza leo, tangu mlivyokubaliana na sera za IMF na World Bank za kufufua uchumi miaka ya 80 mpaka leo, maamuzi ya nchi yana mikono ya wageni. Angalia Bajeti ya nchi inawategemea kiasi gani wageni hawa, je unadhani wanawapa development bugdet kwa maslahi gani? Kwenye huu mgogoro wa DRC, majeshi ya UN yamekaa kule kwa zaidi ya miaka 10, umeshawahi kusikia wameingia front kupambana na waasi? Hapana! Je ni kwanini? na kwanini JWTZ waende tu ndani ya mwezi na kuzama front kupambana na waasi head to head? Majeshi ya SA pia yalikuwepo lakini JWTZ wali-take leading role! Tafuta taarifa za ndani, kuna kitu utabadili kwenye unachoamini. Kuna vitu vingi vimejificha hapa na havipo na havitakuja kuwa straight hata siku moja.
 
Mkuu unataka kusema wanajeshi wa tanzania wapo frontline wakipambana na m23? mbona naskia wanajeshi wetu kazi yao ni kulinda raia wa goma wasishambuliwe?. naomba ufafanuzi. Mia

mbona unatujazia server na maswali rahisi.. hujasoma mandate ya monusco??? mpaka uambiwe na mtu aliye goma kuhusu mandate ya monsuco... monusco haijaenda kulinda amani monusco imeenda kupigana vita hata kwenye official web yao inasema lengo la wao na uanzishwaji wake!!!
 
CNDP+3+table.jpg
Mbona Viongozi wengi sana!!!!!!!!!? kuna kitu sio cha kawaida hapa kimejificha!! loh...!
 
Mtajibeba mwaka huu. Vipi lile dili la kuwakamata na kuwalazimisha vijana kwenda kuwasaidia M23 limeshindwa? Watanzania ni wakali wa ujasusi. Mtakoma mpaka muache uhuni wenu, tunajua kila linaloendelea Ikulu yenu. Hata PK akijamba, vijana wetu wanajua kwamba PK leo kajamba muda fulani. Unacheza na wa-Tz. Piga haoooooooooooo intarahamwe na wanyamulenge! Na hatukubali peace talk yoyote from now mpaka PK akimbie ofisi

Ahsante sana kwa kumtambua huyu Mtutsi. Huko unaambiwa JWTZ wanatoka kipigo kizito sana.
 
Maswali yako ni mengi, k ili nisipoteze swali hata moja ngoja nijibu swali moja kwenda jingine:

1. Kikundi cha FDLR kipo na kimetawanyika karibu KIVU zote (North and South). Kihistoria kikundi hiki ni cha wahutu ambao walikimbia Rwanda baada ya vita ya 1994. Wengi wao walikuwa ni wanajeshi wa Jeshi la Rwanda wakati huo. Walikimbila DRC ambako inasemekana walikuwa wanajijenga kwa ajili ya kutaka kurudi kuipindua serikali ya Kagame (Watusi). Siwezi nikakadiria wingi wao lakini nasikia wapo katika ameneo mbalimbali hasa ya madini. Kama nilivyoeleza, hapa DRC kuna vikundi vyenye silaha zaidi ya 25 katika maeneo mbalimbali.

2. Kwa sasa kipo tu nacho kinajihusisha wakati mwingine na uchimbaji madini na unyang'anyi kwa ajili ya kusurvive. Kwa kawaida huwa kinapambana na Jeshi la Serikali kwani nacho kinasababisha avunjifu wa amani kwa ubakaji, na mauaji kama ulivyoeleza. Wakati mwingine nasikia kimekuwa kikiwashambulia hawa M23 (kwani M23 ni Watusi).

3. Ukweli kimepungua sana nguvu kwa sasa kutokana na kushambuliwa mara kwa mara. Rwanda inakiona ndiyo hatari sana kwani endapo kikijijenga upya kinaweza kupata support ya wahutu walio wengi Rwanda na kurudi na kupindua Rwanda. Kimekuwa kikiungwa mkono na baadhi ya Wa Congo kwani kina uadui na Rwanda (Conspires theory ).

Bila shaka nimeeleweka.

Asante sana. Naona una uwezo mkubwa wa kiuchambuzi kuliko mfanya biashara wa kawaida. Naomba utujuze wana jamvi. Hivi kile kikundi cha FDLR kiko vitani pia? Na kama ni hivyo, kina pambana na nani? na kama siyo hivyo kiko wapi na kina fanyanya nini? Na pia kina ukubwa na uwezo gani kijeshi na kisiasa? Je, kina mahusiano ya namna gani na raia wa drc? Kikiwa ndani ya DRC kinajihusisha na visa vya ubakaji na mauaji ya wanawake, watoto na vikongwe NA pia kutumia askari watoto kama ilivyo kwa M23? Tujuze kaka
 
Mi nasema siku zote kuwa hawa M23 wanakuwa na jeuri kutokana na kuungwa mkono na Uganda na Rwanda. Kama kweli kabila ameongeza nguvu jeshi lake basi awapige Rwanda toka mpakani mpaka Kigali na ikiwezekana wamkamate Kagame na kumuua ili iwe fundisho to other perpetrators in the region. Ukanda wetu hauwezi kuwa na amani tukiwa na Museveni na Kagame hata siku moja, hapa kilichobaki ni kumuua tu Kagame na kuwapa wengine mafunzo.

Umeongea Point nzuri sana, Kagame na Museveni wakifa itapendeza sana. Na zoezi hili litapendeza kama SADC wakiingilia kati.
 
Nasikia huku nyumbani imepigwa marufuku kuzungumzia mambo haya, Mnanishauri vipi? Nimeharibu ninini?

mods naombeni mu i sticky hii thread.. Tuna mengi ya kujifunza. Na hakikaka haya ndo mambo ya kujaldili tunapata ELIMU.
HAKIKAKA NAKUPONGEZA FLASH HIDER.
UMEFANIFANYA NIANZE TEMBELEA HAPA JUKWAA KWA ELIMU.
SI KILA SIKU TUNAWAJADILI MAFISADI YALIYOJAZANA CHADEMA NA CCM.

PLEASE MODS, STICKY THIS..cc Invisible
 
Kuna watu wako humu kama washabiki tu,sasa watusi wame kujaje katika hii thread? wewe weka point hapa kwani mtusi hawezi kutoa mawazo yake? mbona mnawafanya watusi kasio vile binadamu,mwaka huu mtawaongea sana na kuwachukia.
 
Back
Top Bottom