FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
- #181
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.
Miji katibu yote ya Munigi, Kibati, Kibumba, Kiwanja, Rumangabo imechukuliwa. M23 Wanakadiriwa kufikia 2000.
Mkuu ...nadhani hujanielewa...namaanisha M23 kwa sasa wanashikilia miji mingapi? and kikundi cha watu 2000 tu kwa nini kiwasumbue watu kiasi hiki.
Haya ni ya kwetu wabongo/watz wewe umeingia humu kufanya nini?
Ni madini gani yanapatikana hapo congo,pia hao waasi wanamigodi yao au vipi? Pia kwani hakuna makampuni ya uchimbaji ambayo yanachimba huko?Ok, nilikuwa sijajua hili
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi wa matukio huko DRC...
Mkuu kulikuwa na katazo la kuandika habari za mapigano dhidi ya M23 huko DRC nadhani lilitolewa na jeshi letu...sasa kwenye majibu yako umegusa maendeleo ya mapigano hayo...swali: Je. katazo hilo limeondolewa na jeshi letu ama umeamua utotii katazo hilo..?
Rejea link hii>>>JWTZ YATOA TAMKO ZITO,MARUFUKU KUANDIKA HABARI ZA UCHOCHEZI KUHUSU JWTZ NA M23 ~ LEWIS MBONDE BLOG
Ni madini gani yanapatikana hapo congo,pia hao waasi wanamigodi yao au vipi? Pia kwani hakuna makampuni ya uchimbaji ambayo yanachimba huko?
Madini yanayopatikana huku ni Gold, Coltan, Cobalt, Diamond na mengine mengi kama aina 10 hivi. Kuna baadhi ya makundi ya waasi yanayomiliki migodi na mengine yanatoa ulinzi wa uchimbaji wa madini hayo na usafirishaji. Kumbuka kuporwa huku ni jambo la kawaida kutokana na kuzagaa ovyo kwa silaha. Makampuni ya uchimbaji yapo tena mengi tu hasa huko Kisangani (Ilipo timu ya TP Mazembe). Huko kuna makampuni mengi sana halali ya uchimbaji.
We mbwa mi huwa unanichefua sana kwa majibu yako. Kenge we!!
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.
swali langu ni kuwa kuna rafik yangu ni mcongo lakin ana hasiri ya kinyarwanda na lugha wanayoongea ni kama kinyarwanda.
uko walikuwa wanaishi wanatumia lugha ya kiswahili, kilingala, french na hiyo lugha.
swali ni ili wao walikuwa wanauliwa na kuvamiwa kwa sababu jamii yao imefanana na wanyarwanda. Je ni kikundi gani kilichousika?
je huoni m23 ulikuwa mkomboz kwao?
uyo rafik yangu walikimbilia uganda. na dada yake aliolewa tz
Asante mkuu,sasa kwa nyie wanunuzi wa hayo madini usalama wenu upoje? Pia vipi bei zake ni za chini au zipo kama soko la madini lilivyo.pia kwa nyie wageni wenyeji wanawachukuliaje, je mnakua hamna wakati mgumu kimaisha kweli.
#hili jamaa linakera kupindukia!pia anaonyesha hapendi ndg zetu wakongomani wapate amani
Huyu jamaa huwa nampata sana, tangu huu mgogoro umeanza na JWTZ kwenda kule huwa anaongeaga pumba sana.
Nasikia huku nyumbani imepigwa marufuku kuzungumzia mambo haya, Mnanishauri vipi? Nimeharibu ninini?
kuna watu wako humu kama washabiki tu,sasa watusi wame kujaje katika hii thread? Wewe weka point hapa kwani mtusi hawezi kutoa mawazo yake? Mbona mnawafanya watusi kasio vile binadamu,mwaka huu mtawaongea sana na kuwachukia.