Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

lisemwalo sana lipo na kama halipo lipo njiani laja! Kuna jamii nyingi sana afrika tena zenye sifa mbalimbali nzuri na za kutisha pia, lakini kwanini watusi? Ni dalili ya uovu wao

Tatizo lako wewe ni mbaguzi na hauta geuza chochote wakati wote ukifikiria kwamba ku eliminate watutsi ndio itakua dawa ya DRC,hata wahutu walifikiria hivyo lakini hawakufika popote,aliye simikwa na mwenyezi mungu huwezi kumu eliminate.
 
Kwenye Account ya Facebook M23 wamesema wanahamia Msituni, na wanajihami kuwa kwenye hiyo vita ya msituni hakuna majeshi yatakayowafata na kuwapiga.

wangejua JWTZ NI WAKALI WA MSITUNI WASINGEJARIBU HILO, LAKINI NAAMINI WAMERUDI KATIKA MILIMA YA RWANDA KULIMA VIAZI KAMA ALIVYO TANABAISHA KAGAME
 
tatizo lako wewe ni mbaguzi na hauta geuza chochote wakati wote ukifikiria kwamba ku eliminate watutsi ndio itakua dawa ya drc,hata wahutu walifikiria hivyo lakini hawakufika popote,aliye simikwa na mwenyezi mungu huwezi kumu eliminate.

watu wote wameumbwa na mungu ila ukikaidi amri zake anakuacha utangulie usikokujua!
 
Nadhani waligawana majukumu, South walileta kikosi cha anga, Siis ni ardhini na malawi nadhani ni cha Mizinga.

Malawi ni bora angebaki, Kuanzia Askari wa ardhini mpaka wa Mizinga ni JWTZ ila anga ndo S.AFRICA. Kuna Clip moja inaonesha JWTZ wakiweka mizinga tayari kwa ajili ya mapambo, na malawi kachelewa sana. Hata kwenye mapambano ya mwanzo bila shaka hakuwepo.
 
Nimesikia Angola wameombwa na UN kupitia Mary Robinson wapeleke vijana wakasaidie kusafisha. Hii ipo kwenye AllAfrica.com waki i quote ANGOP. Ni kweli au? Kama hii ni kweli mbona East DRC kutasafishwa!
 
Kabila ameshasema hakuna mjadala,hakuna maelewano katika viti hivi,M23 wajisalimishe au watapata kichapo
MUKAMASIMBA mkuu nchi za SADC ni tajiri kuliko Ryanda na Uganda ukumbuke vile vile USA iko upande wa jeshi la SADC likiongozwa na Tanzania,sasa nambie huyo kagame ana ubavu gani wa kupigana na nchi kama Zimbabwe,Angola,Tanzania,South Africa.......ambazo zinasaidiwa na USA ki hali na mali

I can predict the beginning of the end of MR tutsi Kagame 🙂

SADC wachovu hawawezi kitu,nilicho kisema East afrika hakuta kalika.na tatizo nikwamba watu wengi wanamtazamo kwamba watusi should be eliminated ndio maana na sema hakuta kalika bora watu wakae chini waongee bila hivyo hata amerika ameshindwa kuleta amani irak,Afghanistan na lyibia.
 
Malawi ni bora angebaki, Kuanzia Askari wa ardhini mpaka wa Mizinga ni JWTZ ila anga ndo S.AFRICA. Kuna Clip moja inaonesha JWTZ wakiweka mizinga tayari kwa ajili ya mapambo, na malawi kachelewa sana. Hata kwenye mapambano ya mwanzo bila shaka hakuwepo.
Mkuu umesema sawa,sijaona hata askari mmoja wa Malawi kwenye mchakato huu. Nawaona Jwtz tu. Labda Malawi wapo kwenye brass bands!
 
Tatizo lako wewe ni mbaguzi na hauta geuza chochote wakati wote ukifikiria kwamba ku eliminate watutsi ndio itakua dawa ya DRC,hata wahutu walifikiria hivyo lakini hawakufika popote,aliye simikwa na mwenyezi mungu huwezi kumu eliminate.

Watutsi wakifa wote itasaidia kwa kiasi kikubwa Congo kutulia.
 
wangejua JWTZ NI WAKALI WA MSITUNI WASINGEJARIBU HILO, LAKINI NAAMINI WAMERUDI KATIKA MILIMA YA RWANDA KULIMA VIAZI KAMA ALIVYO TANABAISHA KAGAME

Ile Battalion ya JWTZ iliyokwenda DRC si mchezo, Vita vya aina yoyote wanapigana.
 
Mkuu umesema sawa,sijaona hata askari mmoja wa Malawi kwenye mchakato huu. Nawaona Jwtz tu. Labda Malawi wapo kwenye brass bands!

Hili Jeshi la Watanzania linapaswa kupewa heshima yake.
 
Sijajua hilo wazo la kuwaondoa Watusi wote ni ajenda ya nani kwani Watusi wapo TZ, Burundi, DRC na hapa DRC. Sidhani kama dunia hii kuna watu wanoweza kuwa na ajenda hii.

SADC wachovu hawawezi kitu,nilicho kisema East afrika hakuta kalika.na tatizo nikwamba watu wengi wanamtazamo kwamba watusi should be eliminated ndio maana na sema hakuta kalika bora watu wakae chini waongee bila hivyo hata amerika ameshindwa kuleta amani irak,Afghanistan na lyibia.
 
Ukiwa hapa GOMA utaona jinsi JWTZ lilivyo juu. Hakika tunapaswa kulipongeza JWTZ kwa kazi inayofanyika huku. Wa Kongo wakikuta mtanzania basi hukwambia "asante sana rafiki ya nguvu".

Hili Jeshi la Watanzania linapaswa kupewa heshima yake.
 
Watutsi wakifa wote itasaidia kwa kiasi kikubwa Congo kutulia.

Unahabari kwamba tatizo la watusi congo lilianza juzi 1994,baada ya wahutu kuingia kongo,lakini wakati wote baada ya uhuru hapajawahi kua amani na kuna vikundi zaidi ya arobaini,na sababu M23 inasemwa sana ni kwasababu ilianzishwa na watusi lakini sio wao wanaoleta matatizo kongo hata huyo kabila aliwekwa hapo alipo na watusi.
 
Sina uhakika na hilo ngoja nifuatilie katika mtandao huo. But believe me, hili jeshi la sasa linaloundwa na TZ, SA na Malawi ukweli litamaliza utata wote huku DRC. Najua na hata wananchi wa DRC wanakumbuka na kuelewa ukali wa Angola katika vita ya DRC huko nyuma. Wakija kazi itakuwa kwissa kabisa.

Nimesikia Angola wameombwa na UN kupitia Mary Robinson wapeleke vijana wakasaidie kusafisha. Hii ipo kwenye AllAfrica.com waki i quote ANGOP. Ni kweli au? Kama hii ni kweli mbona East DRC kutasafishwa!
 
Sijajua hilo wazo la kuwaondoa Watusi wote ni ajenda ya nani kwani Watusi wapo TZ, Burundi, DRC na hapa DRC. Sidhani kama dunia hii kuna watu wanoweza kuwa na ajenda hii.

Flash hider sina tatizo lolote na unayo ongea bali kuna jamaa anaitwa ALEYN anaitikadi ya mauaji ya kimbali ndiye nilikua najaribu kumjibu kwani kwa mawazo yake nikwamba amani itapatikana mtusi akiondolewa katika hili eneo.
 
Sina uhakika na hilo ngoja nifuatilie katika mtandao huo. But believe me, hili jeshi la sasa linaloundwa na TZ, SA na Malawi ukweli litamaliza utata wote huku DRC. Najua na hata wananchi wa DRC wanakumbuka na kuelewa ukali wa Angola katika vita ya DRC huko nyuma. Wakija kazi itakuwa kwissa kabisa.

Nikweli wameombwa ili waje kusaidia kuweka amani kwani wao ni neutral ukilinganisha na tz na SA,kinacho kosekana kongo ni jeshi lililo neutral na pindi likipatikana amani katika kivu itapatikana,lakini wakati wate ukiwa na majeshi yanayo fikiria ku eliminate watu fulani katika agenda yao hakuta kua na amani congo hata ukileta amerika haita wezekana.
 
Kaka sitaki kuonekana kama nawaandama watusi, lakini Watusi wa kwanza hapa DRC wanatajwa kuingia miaka ya 60 walivyokimbia baada ya jaribio la kutaka kuipindua serikali ya rais Kayibanda (Mhutu). Wengine (akina Kagame) walikimbila Uganda na wengine TZ (WALIPEWA URAIA KULE TBR).Walipokuja huku GOMA walikuwa wanaitwa Wanyamulenge na walipokelewa na waliishi vizuri tu. Wakiwa huku walianza kujijenga kijeshi ili waweze kuipindua serikali ya Rwanda. Mwaka 1994 baada ya Wahutu kukimbilia huku (FDLR) na kukutana na Wanyamulenge, hapo ndipo vita ikaanza. Kwanza Watusi walianza kulengwa na baadaaye Wahutu wakaanza kulengwa. Ni historia ndefu yenye machungu mengi sana. Hivyo tatizo la watusi si la jana.

Back
Top Bottom