FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
- #161
Nikutoe shaka kaka mimi si TISS wala mwanasiasa. Nipo hapa GOMA kwa karibu miaka 10 sasa, usinidhanie mimi ni TISS.
Masuala ya EAC ukweli sina uelewa nayo kiundani ingawa mimi ni muumini wa UMOJA NI NGUVU.
KUHUSU JWTZ KULETA AMANI KWA NJIA YA BUNDUKI SIDHANI KWANI AMANI HAIWEZI KULETWA NA BUNDUKI PEKE YAKE.
ISSUE YA MAREKANI UKWELEI SIJAFANYIA REASEARCH, ila kuna madau alifunguka hapa undani wa DRC+ RWANDA+ USA+ MADINI

Bila shaka siyo mfanyabiashara! Ni TISS uliyeko ikulu na umeamua kutupa taarifa za kiundani, ahsante!!!!
Swali: unadhani JWTZ wanaweza kuiweka DRC iwe yenye amani kwa njia ya bunduki?!!!
Pili, unadhani ni bora kuvunja EAC na kujitenga na majirani zetu uganda, kenya na Rwanda kwa ajili ya Amani ya DRC?!!
Tatu, unafikiri marekani wapo tayari kuacha kuiba madini hapo DRC, kwani kuna madini muhimu ya kutengeneza simu, dhahabu, na mengine kibao?!!
Nijibu kaka!!