Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Nikutoe shaka kaka mimi si TISS wala mwanasiasa. Nipo hapa GOMA kwa karibu miaka 10 sasa, usinidhanie mimi ni TISS.

Masuala ya EAC ukweli sina uelewa nayo kiundani ingawa mimi ni muumini wa UMOJA NI NGUVU.

KUHUSU JWTZ KULETA AMANI KWA NJIA YA BUNDUKI SIDHANI KWANI AMANI HAIWEZI KULETWA NA BUNDUKI PEKE YAKE.

ISSUE YA MAREKANI UKWELEI SIJAFANYIA REASEARCH, ila kuna madau alifunguka hapa undani wa DRC+ RWANDA+ USA+ MADINI
Bila shaka siyo mfanyabiashara! Ni TISS uliyeko ikulu na umeamua kutupa taarifa za kiundani, ahsante!!!!

Swali: unadhani JWTZ wanaweza kuiweka DRC iwe yenye amani kwa njia ya bunduki?!!!

Pili, unadhani ni bora kuvunja EAC na kujitenga na majirani zetu uganda, kenya na Rwanda kwa ajili ya Amani ya DRC?!!

Tatu, unafikiri marekani wapo tayari kuacha kuiba madini hapo DRC, kwani kuna madini muhimu ya kutengeneza simu, dhahabu, na mengine kibao?!!

Nijibu kaka!!
 
Mi nasema siku zote kuwa hawa M23 wanakuwa na jeuri kutokana na kuungwa mkono na Uganda na Rwanda. Kama kweli kabila ameongeza nguvu jeshi lake basi awapige Rwanda toka mpakani mpaka Kigali na ikiwezekana wamkamate Kagame na kumuua ili iwe fundisho to other perpetrators in the region. Ukanda wetu hauwezi kuwa na amani tukiwa na Museveni na Kagame hata siku moja, hapa kilichobaki ni kumuua tu Kagame na kuwapa wengine mafunzo.
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.
 
We mbwa mi huwa unanichefua sana kwa majibu yako. Kenge we!!
 
Embu tuambie M23 ina makisio ya wapiganaji wangapi? je JWTZ ndio pekee mstari wa mbele kulikoni ilivyo kwa Malawi na Afrika kusini? Ukumbukwe pia Tanzania wanamgogoro wa kimipkana na Mawali, je ushirikiono kivita uwanja wa mapambano upoje lakini kama una tetesi sahihi! aksante
 
Bwana Sixgates,

Tokea mgogoro huu uanze, wananchi wa DRC wamekuwa wakiomba sana Watanzania (JWTZ) waingilie kwani ilionekana wazi kuwa hili jeshi la UN lililopo na ambalo naambiwa limekuwepo kwa miaka karibu 14 limekosa uzalendo wa dhati wa kuisaidia DRC. Sababu kubwa ni kuwa majeshi yaliyokuwepo ni kutoka India, Bangredesh, Pakistan nk ambayo kimsingi hayawezi kuwa na uchungu wa rohoni wa matatizo yanayoipata DRC.

JWTZ limekuwa na hitoria nzuri katika DRC. Inasemekana Kikosi kimoja cha DRC likichofundishwa na JWTZ mwaka 1997 ndicho kinafanya vizuri kimapigano mpaka sasa. Siasa yetu inatajwa kuwa ni bora haina interest yoyote ndani ya DRC na Maziwa Mkaubwa kwa ujumla(hapa nisingependa kuingia kwenye malumbano ya kisiasa) Si hivyo tu, hata historia ya kuzikomboa Zimbabwe, Namibia, Msumbiji na kwingineko kunalipa jina kubwa JWTZ. Kwa ujumla wananchi wamekuwa na matumaini makubwa kuwa JWTZ kama lead army in this Operation litawasaidia hasa kupambana na M23. Tatizo nilaloliona ni namna ya ku-fulfil matumaini yote ya wana DRC.

Kuhusu Rais Kabila kuwa ni sehemu ya tatizo hilo binafsi ninalikataa. Najua amekuwa akibanwa sana na jumuiya ya Kimataifa kutatua mgogoro huu kwa njia ya kisiasa zaidi kuliko kivita. Wananchi wa kawaida hawawezi kuelewa hili. Amejitahidi sana hasa mwaka huu, ameimarisha JESHI kwa vifaa, mafunzo, kawapandisha vyeo baadhi ya makamanda, yote ni kuwaandaa kimapigano wanajeshi wake dhodo ya waasi. Wiki iliyopita ametoa hutuba kali na kueleza wazi wazi kuwa lililobaki ni vita tu, kitu ambacho ndiyo kinaendelea kwa sasa.

Suala moja ambalo ningependa watu wote waelewe ni kuwa ukweli DRC ina matatizo mengi kuanzia Political, Economical and Security. M23 ni sehemu ndogo sana ya tatizo la DRC. Mengi yanatakiwa yafanyike.
Majeshi ya India Pakistan na Bangladesh hayawezi kumaliza Mgogoro wa DRC kwa sababu ni kutokana na kuwepo kwao hapo DRC makampuni ya yanayo fanya biashara ya kuuza Mafuta kama PDLTOLL na Wafanyabiashara wa Vyakula kutoka maeneo hayo wanajinufaisha na Mgogoro huo.
 
Mbona unaonekana km mtu uliyeenda shuke na unajua mambo hasa socialogy na polotical, we unafanya biahsra kweli au ni intelenjesia wetu unafanya kazi yako? hebu tueleze una muda gani unafanya u-FBI huko< tunakuomba usiwe kama mmarekani snoden. Naamini huwezi kuwa businessma huko kwa mtutu uliopo huko siyo rahisi. una uelewa mkubwa.

Kijana yupo kazini...
 
Hii kali.

Mtajibeba mwaka huu. Vipi lile dili la kuwakamata na kuwalazimisha vijana kwenda kuwasaidia M23 limeshindwa? Watanzania ni wakali wa ujasusi. Mtakoma mpaka muache uhuni wenu, tunajua kila linaloendelea Ikulu yenu. Hata PK akijamba, vijana wetu wanajua kwamba PK leo kajamba muda fulani. Unacheza na wa-Tz. Piga haoooooooooooo intarahamwe na wanyamulenge! Na hatukubali peace talk yoyote from now mpaka PK akimbie ofisi
 
Bila shaka.

Majeshi ya India Pakistan na Bangladesh hayawezi kumaliza Mgogoro wa DRC kwa sababu ni kutokana na kuwepo kwao hapo DRC makampuni ya yanayo fanya biashara ya kuuza Mafuta kama PDLTOLL na Wafanyabiashara wa Vyakula kutoka maeneo hayo wanajinufaisha na Mgogoro huo.
 
Kuna watu wako humu kama washabiki tu,sasa watusi wame kujaje katika hii thread? wewe weka point hapa kwani mtusi hawezi kutoa mawazo yake? mbona mnawafanya watusi kasio vile binadamu,mwaka huu mtawaongea sana na kuwachukia.

Hahaaa!
Taratibu.
Watanzania hatuna chuki na Mtu. Ila ukileta za kuleta utapotezwa!
Kama alivyofanya Kagame hope soon atapotea.
 
M 23 ukisoma kwenye magezi mengi wanatajwa kuwa kama 3000 mpa 4000.

Sijajua kama hasa ni majeshi gani mengine kati ya Jeshi la Malawi la SA lilopo front, ninachojua na kuwa na uhakika ni kuwa JTWZ lipo front.

Kuhusu mgogoro wa mpaka na Malawi, sijajua kama unaweza kuhamishiwa huku.

Embu tuambie M23 ina makisio ya wapiganaji wangapi? je JWTZ ndio pekee mstari wa mbele kulikoni ilivyo kwa Malawi na Afrika kusini? Ukumbukwe pia Tanzania wanamgogoro wa kimipkana na Mawali, je ushirikiono kivita uwanja wa mapambano upoje lakini kama una tetesi sahihi! aksante
 
Embu tuambie M23 ina makisio ya wapiganaji wangapi? je JWTZ ndio pekee mstari wa mbele kulikoni ilivyo kwa Malawi na Afrika kusini? Ukumbukwe pia Tanzania wanamgogoro wa kimipkana na Mawali, je ushirikiono kivita uwanja wa mapambano upoje lakini kama una tetesi sahihi! aksante

Jana kunasehemu nimesoma wanakadiria kwa sasa wamebakia kama 1000 na ndio hao wanakimbilia Msituni.

Laki kumbuka makundi yapo mengi sana zaidi ya 20 na kitu, Kwahiyo huyu M23 ni kinara tu akiisha huyu kuna wengine bado watatakiwa kusalimisha silah na kazi ipo maana kuna lile la Wahutu(FDLR) amablo limekuwa likipigana miaka ya nyumba sambamba na La Serekali.
 
Thubutu! kama unataka ukanda huu wote uwake moto jaribu kugusa pk na M7,nafikiri ndio utakua mwisho wa amani katika afrika mashariki na kati,kama unataka amani ya kudumu sikilizeni matatizo ya M23 nakuyatatua kwani wao wanataka kusikilizwa bila hivyo nawapa pole wote wanaofikiria kuondoa watu fulani kwamba amani itapatikana.

Haya ni ya kwetu wabongo/watz wewe umeingia humu kufanya nini?
 
M 23 ukisoma kwenye magezi mengi wanatajwa kuwa kama 3000 mpa 4000.

Sijajua kama hasa ni majeshi gani mengine kati ya Jeshi la Malawi la SA lilopo front, ninachojua na kuwa na uhakika ni kuwa JTWZ lipo front.

Kuhusu mgogoro wa mpaka na Malawi, sijajua kama unaweza kuhamishiwa huku.

Nadhani waligawana majukumu, South walileta kikosi cha anga, Siis ni ardhini na malawi nadhani ni cha Mizinga.
 
Umeeleweka mkuu. Nakushukuru sana.

Maswali yako ni mengi, k ili nisipoteze swali hata moja ngoja nijibu swali moja kwenda jingine:

1. Kikundi cha FDLR kipo na kimetawanyika karibu KIVU zote (North and South). Kihistoria kikundi hiki ni cha wahutu ambao walikimbia Rwanda baada ya vita ya 1994. Wengi wao walikuwa ni wanajeshi wa Jeshi la Rwanda wakati huo. Walikimbila DRC ambako inasemekana walikuwa wanajijenga kwa ajili ya kutaka kurudi kuipindua serikali ya Kagame (Watusi). Siwezi nikakadiria wingi wao lakini nasikia wapo katika ameneo mbalimbali hasa ya madini. Kama nilivyoeleza, hapa DRC kuna vikundi vyenye silaha zaidi ya 25 katika maeneo mbalimbali.

2. Kwa sasa kipo tu nacho kinajihusisha wakati mwingine na uchimbaji madini na unyang'anyi kwa ajili ya kusurvive. Kwa kawaida huwa kinapambana na Jeshi la Serikali kwani nacho kinasababisha avunjifu wa amani kwa ubakaji, na mauaji kama ulivyoeleza. Wakati mwingine nasikia kimekuwa kikiwashambulia hawa M23 (kwani M23 ni Watusi).

3. Ukweli kimepungua sana nguvu kwa sasa kutokana na kushambuliwa mara kwa mara. Rwanda inakiona ndiyo hatari sana kwani endapo kikijijenga upya kinaweza kupata support ya wahutu walio wengi Rwanda na kurudi na kupindua Rwanda. Kimekuwa kikiungwa mkono na baadhi ya Wa Congo kwani kina uadui na Rwanda (Conspires theory ).

Bila shaka nimeeleweka.
 
Back
Top Bottom