Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Nikweli wameombwa ili waje kusaidia kuweka amani kwani wao ni neutral ukilinganisha na tz na SA,kinacho kosekana kongo ni jeshi lililo neutral na pindi likipatikana amani katika kivu itapatikana,lakini wakati wate ukiwa na majeshi yanayo fikiria ku eliminate watu fulani katika agenda yao hakuta kua na amani congo hata ukileta amerika haita wezekana.
Mkuu MUKAMASIMBA naona umechanganyikiwa kwa kipigo! Angola ni NEUTRAL force? Hukumbuki walikuja kupamabana kuzuia uasi wa pili dhidi ya Kabila pamoja na Zimbabwe! Dhidi ya Watusi ( Banyamulenge) hawahawa?