FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
- Thread starter
- #661
Nimekukubali mkuu UKWAJU. Historia ya eneo hili haiwataji kabisa Watusi. Wao ni wavamizi tu na sasa wanataka kuleta tabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mukamasimba Watanzania hatuna hulka/kawaida ya kupora rasilimali za Mataifa mengine, pili - Tanzania ina wanawake/wasichana wa kila sampuli - chaguo lako, Watanzania si limbukeni wa kutekwa na wanawake wa nchi nyingine mpaka akajikuta amezamia kabisa - kama ni suala la nyumba ndogo atatafuta hapa hapa sio kukimbilia nchi za wenzetu.
Kama nimeelewa sawa anachokisema mukammasimba maana yake ni kuwa kama M23 watakuwa wamekimbia na majeshi ya Sadc na Monusco yakadharau uwepo wa FDLR tunaweza kushuhudia mauajii mengine ya kimbari dhidi ya watutsi wanaoishi Congo na hasa hao waaeneo ya kivu ya kusini, kama ni kweli hii haileti maana
ninasikia mademu wa huko kongo wanahusudu sana wabpngo, eti ni kweli?
halfu nasikia vijana wa huko wanajiremba sana , unaweza kuta mtu anakaa kwenye kijinyumba cha ushenzi lakini amevalia kipapaa sana,, n hayo tu,naomba kueleweshwa
Nimevutiwa na maelezo yako ya historia ya mzozo huo, ni ukweli usiopingika;:A S-confused1:
Where is Sultan Makenga?, (m 23 military chief) it was believed tha he was severely injured, was that true?
Rais Kabila yeye ni mwenyeji wa nchi gani ?wao mpaka wanamchagua hawakumjua? Sasa iweje leo waanze kutafuta tofauti yake nawao?Wakongoman nawaomba muwe na maamuzi yenye hekima na mfanye maombi sana ili mungu awakumbuke na alejeshe amani nchini mwenu.Mungu ibariki Kongo.
Inasemekana amekimbilia Rwanda na hakuwa hata na walinzi....kutokana na kichapo.
Bado na mimi nafuatilia habari zake
Mkuu hizo niporojo za wa congoman makenga mbona yupo tena wa afya,hivi limekua tatizo kwani jamaa wameingia maporini na wameanza kuwafanyia ambush kitu ambacho congo na FIB wanaogopa ndio maana wanalazimisha maongezi yaendelee kampala ili waweze kupunguza hasira za M23.
Hebu tuone sasa hao M23 wamekimbia, nani anawalinda hao ambao MUKAMASIMBA anawaita Watusi?
Wewe hizo habari unazitoa wapi? unaambiwa jamaa wameingia katika mapori ya vilunga eti wamekimbilia rwanda?
Mkuu hizo niporojo za wa congoman makenga mbona yupo tena wa afya,hivi limekua tatizo kwani jamaa wameingia maporini na wameanza kuwafanyia ambush kitu ambacho congo na FIB wanaogopa ndio maana wanalazimisha maongezi yaendelee kampala ili waweze kupunguza hasira za M23.
hivi wewe ni mtusi eti?
Amekwambia nani yupo Virunga? Bila silaha? maana jana wameonesha kwenye TV silaha zote za M23 walizoziacha wakati wanakimbia. Zingine wamechoma kama kifaru, mizinga nk. Nasikia JWTZ limemeombwa kuja kulikalia eneo hili la Rutchuru ili kuhakikisha hao M23 hawarudi tena.
Mkuu WHITEMAN, Amekataa kuwa yeye siyo mtusi.
JWTZ waogope vita vya msituni? Kwani hayo mazoezi wanafanyia wapi? Pole yako, tena ukae ukijua kwamba Jeshi la Tanzania linakuwa kali zaidi pale inapotokea mmeua wanajeshi wao. Kwahiyo vifo vya wanajeshi wetu kwetu ni ahadi ya kufika beyond ya unavyodhani. Utakuja kukosa la kusema jukwaa hilihili. Hongera sana Jeshi pendwa letu JWTZMkuu hizo niporojo za wa congoman makenga mbona yupo tena wa afya,hivi limekua tatizo kwani jamaa wameingia maporini na wameanza kuwafanyia ambush kitu ambacho congo na FIB wanaogopa ndio maana wanalazimisha maongezi yaendelee kampala ili waweze kupunguza hasira za M23.
Mkuu hawa watu wapo wapi Generali Nkundabatware na Askofu Jean-Marie Runiga Lugero, Generali MakengaNimekukubali mkuu UKWAJU. Historia ya eneo hili haiwataji kabisa Watusi. Wao ni wavamizi tu na sasa wanataka kuleta tabu.