Uliza lolote kuhusu mgogoro ndani ya DRC hasa mapigano kati ya M23 na FARDC

Sasa wewe watajenga congo kivipi wakati tabaka fulani la wakongo wanabaguliwa?kwanza watulie waelewane lakini kama ni vita M23 wataipigana mpaka wasikilizwe,kuhusu kuua raia M23 haiuwi raia hatakidogo wao wanapambana na jeshi,narudia kukuambia FIB wamebamizwa huko bunagana.
Za siku nyingi MUKAMASIMBA, nimekubali - tukija katika nyanja za propaganda naona wewe ni mahili sana!! Nikwambie kitu, nashindwa kutofautisha propaganda zako na za Waziri wa zamani wa Saddam Hussein one "COMICAL ALI" Mh!! Hivi juzi ilikuwaje tena, was it calm at the warfront? Mbona Mkuu wa M23 alisepa at the eleventh hour kwa kutumia chopper, yaani Captain ana abandon ship na kuwahacha wakina KADOGOO wana-face music za Stallin Organs, we fikilia watoto wadogo (whose average age is only ninenteen) walio lazimishwa na misguided leaders i.e (M7&PK) ili wajiunge na M23, inaonekana when the going proved to be tough Mkubwa na M23 akakimbia warfront na kwenda zake Uganda akawa-abandon wakina KADOGOO wakageuzwa cannon fodders wa a formidable FBI Artillery na vimbwanga vingine ambavyo hatuvisemi hapa. Back 2 the point, mkuu Mukamasimba - hivi DRC ina makabila mangapi? Kwa nini kikundi kidogo tu cha kabila korofi nchini DRC kianze kuhangaisha DUNIA nzima kwa malalamiko ya kutunga tu na kiburi kinacho tokana na inbuilt traits za dhalau za kijinga za kujiona wao ni bora zaidi wenye akili nyingi kuliko makabila mengine barani Africa? Mkamasimba mgogoro wa DRC ni wakuchonga tu, kila binadamu mwenye akili timamu analijua hilo, kuweni wawazi hapa kwamba mnacho tafuta ni kumega KIVU - oh yes mnataka Mkoa wa KIVU huwe sehemu ya Rwanda, alafu muhanze kuwasomba Watutsi kokote walipo Duniani wa-occupy KIVU na kuwaondoa/kumaliza makabila mengine kwenye mkoa huo kiaina, viongozi wenu wanajulikana wana RANCH na migodi ya machimbo ya madini, biashara za mbao and what have you, yaani Mkoa wa KIVU ni kama shamba la BIBI au tusema mnauchukulia kama Mkoa wa Rwanda!!! Inshort mipango yenu ni kutaka ku-emulate mbinu za Wayahudi za kukalia kwao sehemu ya Palestina, nyinyi mnatake kuwahiga Waisrael to the letter na mlivyo binadamu wa kushangaza mnaji-equate na Wayahudi! Msije mkajidanganya kwamba International Community inaweza kurubuniwa tena na propaganda zenu zilizo pitwa na wakati, Dunia inajua kwamba propaganda zenu zina kuwa financed na William Clinton and his like mind mwenzake one "Tony Blair" (anakumbukwa na Dunia kwa ma dossier yake ya uongo, akimsingizia Saddam Hussein - binadamu hawa wawili walaghai wakubwa na wakutupwa, hao ndio rafiki/advisers wenu wa karibu - birds of a feather...). Ulimwengu umekwisha choshwa na tabia zenu za kujitia kulalama lalama kila wakati eti "Watutsi wa Congo wanaonewa" sijui wapewe upendeleo kwenye key posts ndani ya Serikali na jeshi la DRC, as if Congo nzima ina kabila moja tu who counts a lot!!! Mnachonga vikundi na kivipa silaha ili vivuvuruge DRC, alafu manjifanya hamuhusiki. Tatizo lenu kubwa linatokana na majivuno ya kijinga - sisi tunao wajuwa kwa karibu - we know you were primed/brainwashed tangu mkiwa watoto wadogo kuyachukulia makabila mengine kana kwamba hayana akili ni nyinyi tu Mungu aliye wapa passport ya kutawala wengine hata mkiwa in a minority you don't even bother 2 borrow a leaf from Frederik Willem de Klerk - a former Apartheid South African Leader - matatizo yote tunayo shuhudia katika kanda hii ya bara letu la Africa yanatokana na tabia zenu hizo za kujiona mko-Superior - na ujinga wenu huo msipo jirekebisha mapema ndio utawamaliza!! Narudia kusema ndoto zenu za kuigawa Congo DRC, ku-occupy mkoa wa Kagera ndoto zote hizo will never see the light of day, zitabaki ni ndoto tu mpaka mwisho wa DUNIA, hakuna cha BAHIMA EMPIRE wala nini sijui.
 
mjue Kayumba Nyamwasa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Faustin Kayumba Nyamwasa is a Rwandan former Lieutnant general who was Chief of Staff of the Rwandan Army. He has also been head of Rwandan intelligence[1] and served as Rwanda's ambassador to India.

Nyamwasa fled to South Africa in February 2010.[1] The Rwandan government later stated that he may have been working with ColonelPatrick Karegeya, another former intelligence head who was living in exile in South Africa.

[1]
Nyamwasa was accused of involvement in acts of terrorism in Rwanda, including three grenade attacks in Kigali on 19 February 2010,[2] but was not arrested in South Africa due to a lack of extradition treaties between the two countries and evidence.

In June 2010, Brigadier General Jean Bosco Kazura, head of the Rwandan Football Federation, traveled to South Africa to see the World Cup and allegedly contacted Nyamwasa. Kazura was recalled and placed under arrest,although an army spokesman said this was purely because he had failed to obtain permission to travel.[3]

Nyamwasa was shot in the stomach in South Africa in June 2010.[2] Several people arrested after the shooting were found to be Rwandan. Kayumba was recorded to have said that Kagame wants him dead because he challenges his dictatorial views.

Nyamwasa's wife stated that the attack was politically motivated. According to Al-Jazeera reported that "Rosette said they were in the parking lot of their home and a man came to the side of the car with a pistol and shot at her husband who managed to get out of the car and then there was a scuffle. The driver of the car then chased the assailant away."
Jean-Léonard Rugambage, a Rwandan journalist who investigated the attempt on Nyamwasa's life, was murdered a few days later in Kigali.:crying:

Married to Rosette Kayumba, Nyamwasa has three sons and a daughter. Philbert Runanira Kayumba , Moris Muvunyi Kayumba , Marc Manzi Kayumba and Phiola Tesi Kayumba.
 
Hata yule professor wa udsm sliye uawa kule nyumbani kwake salasala inasemekana ni general slim ndiye alimuua .huyu jamaa anajifanya mafia sana
 
Lakini wewe hauko GOMA yani huoni hizo helcopta jinsi zinasomba majeruhi na maiti toka frontline?.

Kwani wewe uko Goma? Jifunze jinsi ya kuongea in public, lazima uongozwe na ukweli. Umeingia ndani ya hizo helicopter ukahesabu maiti? S.T.U.P.I.D
 
Kila mmoja ni Genocider. Basi hapo Rwanda kuna kazi. Hivi General Kayonga yupo wapi/

Sasa wewe tatizo lako hujui kiundani matatizo ya wanyarwanda,watu mmekakalia kusoma majarida na articles za wapinzani wa serikali ya kigali unategemea utapata ukweli wowote? hao jamaa unao sema wengi wao ni genociders wanaogopa kutokana na waliyoyafanya rwanda.
 
UNAFIKIRI NI KWANINI rWANDA KUNA WAPINZANI WENGI WASIYO KUWA NA UZALENDO NA NCHI YAO?
 
Jamani siku hizi mambo yote yapo wazi kwenye media, kama kuna majeruhi au vifo si mtajua? Hapa GOMA hakuna helikopta yoyote ya majeruhi. Leo hii nimeambiwa kulikuwa na magari 67 ya serikali na raia wa hapa GOMA ambayao Makenga aliyapora na kuyaficha Rwanda na Uganda sasa yanarudi. Vifaru na mizinga baada ya kushindwa kukimbia navyo amevichoma moto. Silaha na risasi kibao kaacha. Askari wake waliojisalimisha wanafikia 250, kweli M23 bado ina nguvu. Tuambiane ukweli unaotokana na fikra zetu huru zisizotawaliwa na ushawishi wowote.

Kwani wewe uko Goma? Jifunze jinsi ya kuongea in public, lazima uongozwe na ukweli. Umeingia ndani ya hizo helicopter ukahesabu maiti? S.T.U.P.I.D
 
Nilisikia kuwa kuna mkono wake. Akataka kumuuwa pia General mmoja yupo SA akashindwa. Huyu jamaa ukweli sidhani kama atamaliza salama. Nasikia anataka kunadirisha katiba agombee tena.

Hata yule professor wa udsm sliye uawa kule nyumbani kwake salasala inasemekana ni general slim ndiye alimuua .huyu jamaa anajifanya mafia sana
 
mjue kayumba nyamwasa

from wikipedia, the free encyclopedia

faustin kayumba nyamwasa is a rwandan former lieutnant general who was chief of staff of the rwandan army. He has also been head of rwandan intelligence[1] and served as rwanda's ambassador to india.

Nyamwasa fled to south africa in february 2010.[1] the rwandan government later stated that he may have been working with colonelpatrick karegeya, another former intelligence head who was living in exile in south africa.

[1]
nyamwasa was accused of involvement in acts of terrorism in rwanda, including three grenade attacks in kigali on 19 february 2010,[2] but was not arrested in south africa due to a lack of extradition treaties between the two countries and evidence.

In june 2010, brigadier general jean bosco kazura, head of the rwandan football federation, traveled to south africa to see the world cup and allegedly contacted nyamwasa. kazura was recalled and placed under arrest,although an army spokesman said this was purely because he had failed to obtain permission to travel.[3]

nyamwasa was shot in the stomach in south africa in june 2010.[2] several people arrested after the shooting were found to be rwandan. Kayumba was recorded to have said that kagame wants him dead because he challenges his dictatorial views.

Nyamwasa's wife stated that the attack was politically motivated. According to al-jazeera reported that "rosette said they were in the parking lot of their home and a man came to the side of the car with a pistol and shot at her husband who managed to get out of the car and then there was a scuffle. The driver of the car then chased the assailant away."
jean-léonard rugambage, a rwandan journalist who investigated the attempt on nyamwasa's life, was murdered a few days later in kigali.:crying:

Married to rosette kayumba, nyamwasa has three sons and a daughter. Philbert runanira kayumba , moris muvunyi kayumba , marc manzi kayumba and phiola tesi kayumba.

nawashangaa sana wanafiki kama akina mukamasimba wanaoshangilia ukandamizaji na mauaji yanayotekelezwa na muuaji kagame huko kigali na nje ya kigali kisa tu ni mtusi mwenzao
 
Mh! hii kali. Nchi Rwanda kufa ni nje nje. Mungu anayaona yote hayao na hata wapenda amani wa ndani na nje pia wanayaona hayo. Tuombe uzima, ila nina uhakika kuna siku itakuwa wazi.

mjue Kayumba Nyamwasa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Faustin Kayumba Nyamwasa is a Rwandan former Lieutnant general who was Chief of Staff of the Rwandan Army. He has also been head of Rwandan intelligence[1] and served as Rwanda's ambassador to India.

Nyamwasa fled to South Africa in February 2010.[1] The Rwandan government later stated that he may have been working with ColonelPatrick Karegeya, another former intelligence head who was living in exile in South Africa.

[1]
Nyamwasa was accused of involvement in acts of terrorism in Rwanda, including three grenade attacks in Kigali on 19 February 2010,[2] but was not arrested in South Africa due to a lack of extradition treaties between the two countries and evidence.

In June 2010, Brigadier General Jean Bosco Kazura, head of the Rwandan Football Federation, traveled to South Africa to see the World Cup and allegedly contacted Nyamwasa. Kazura was recalled and placed under arrest,although an army spokesman said this was purely because he had failed to obtain permission to travel.[3]

Nyamwasa was shot in the stomach in South Africa in June 2010.[2] Several people arrested after the shooting were found to be Rwandan. Kayumba was recorded to have said that Kagame wants him dead because he challenges his dictatorial views.

Nyamwasa's wife stated that the attack was politically motivated. According to Al-Jazeera reported that "Rosette said they were in the parking lot of their home and a man came to the side of the car with a pistol and shot at her husband who managed to get out of the car and then there was a scuffle. The driver of the car then chased the assailant away."
Jean-Léonard Rugambage, a Rwandan journalist who investigated the attempt on Nyamwasa's life, was murdered a few days later in Kigali.:crying:

Married to Rosette Kayumba, Nyamwasa has three sons and a daughter. Philbert Runanira Kayumba , Moris Muvunyi Kayumba , Marc Manzi Kayumba and Phiola Tesi Kayumba.
 
Na mimi nakubaliana na hilo. Tuwaache Wacongo nao wafurahie amani na utulivu ndani ya nchi yao. Ila nasikia Angola imeombwa kuja kukalia maeneo yote hayo yaliyoachwa na M23 jirani na mpaka wa Rwanda na Uganda. Kwa mtindo huo sidhani kama PK ataendeleza visingizio vyake.

MUKAMASIMBA,

..m23 need to give peace a chance.

..waweke silaha chini ili FIB ipate nafasi ya ku-deal na makundi mengine ya waasi.

..wa-Congo zaidi ya million tatu wamepoteza maisha. It is time we say ENOUGH.

cc FLASH HIDER
 
Nashukuru sana kama umeelewa ingawa kuna jamaa humu walitaka kubadirisha mwelekeo wa mada. Ila bila shaka nao wameelewa ingawa imechukua muda na imefanikishwa na wanazuoni wengi tulionao humu JF wanajua jambo hili kwa upeo mpana zaidi.

mkuu niulize nini tena mimi? ushamaliza mchezo. All the best kaka
 
I wish ningekusikia ukiyatamka maneno haya live, yana ujumbe mzito sana. Anyetaka kuelewa atakuwa amaeelewa sasa. sasa.

Za siku nyingi MUKAMASIMBA, nimekubali - tukija katika nyanja za propaganda naona wewe ni mahili sana!! Nikwambie kitu, nashindwa kutofautisha propaganda zako na za Waziri wa zamani wa Saddam Hussein one "COMICAL ALI" Mh!! Hivi juzi ilikuwaje tena, was it calm at the warfront? Mbona Mkuu wa M23 alisepa at the eleventh hour kwa kutumia chopper, yaani Captain ana abandon ship na kuwahacha wakina KADOGOO wana-face music za Stallin Organs, we fikilia watoto wadogo (whose average age is only ninenteen) walio lazimishwa na misguided leaders i.e (M7&PK) ili wajiunge na M23, inaonekana when the going proved to be tough Mkubwa na M23 akakimbia warfront na kwenda zake Uganda akawa-abandon wakina KADOGOO wakageuzwa cannon fodders wa a formidable FBI Artillery na vimbwanga vingine ambavyo hatuvisemi hapa. Back 2 the point, mkuu Mukamasimba - hivi DRC ina makabila mangapi? Kwa nini kikundi kidogo tu cha kabila korofi nchini DRC kianze kuhangaisha DUNIA nzima kwa malalamiko ya kutunga tu na kiburi kinacho tokana na inbuilt traits za dhalau za kijinga za kujiona wao ni bora zaidi wenye akili nyingi kuliko makabila mengine barani Africa? Mkamasimba mgogoro wa DRC ni wakuchonga tu, kila binadamu mwenye akili timamu analijua hilo, kuweni wawazi hapa kwamba mnacho tafuta ni kumega KIVU - oh yes mnataka Mkoa wa KIVU huwe sehemu ya Rwanda, alafu muhanze kuwasomba Watutsi kokote walipo Duniani wa-occupy KIVU na kuwaondoa/kumaliza makabila mengine kwenye mkoa huo kiaina, viongozi wenu wanajulikana wana RANCH na migodi ya machimbo ya madini, biashara za mbao and what have you, yaani Mkoa wa KIVU ni kama shamba la BIBI au tusema mnauchukulia kama Mkoa wa Rwanda!!! Inshort mipango yenu ni kutaka ku-emulate mbinu za Wayahudi za kukalia kwao sehemu ya Palestina, nyinyi mnatake kuwahiga Waisrael to the letter na mlivyo binadamu wa kushangaza mnaji-equate na Wayahudi! Msije mkajidanganya kwamba International Community inaweza kurubuniwa tena na propaganda zenu zilizo pitwa na wakati, Dunia inajua kwamba propaganda zenu zina kuwa financed na William Clinton and his like mind mwenzake one "Tony Blair" (anakumbukwa na Dunia kwa ma dossier yake ya uongo, akimsingizia Saddam Hussein - binadamu hawa wawili walaghai wakubwa na wakutupwa, hao ndio rafiki/advisers wenu wa karibu - birds of a feather...). Ulimwengu umekwisha choshwa na tabia zenu za kujitia kulalama lalama kila wakati eti "Watutsi wa Congo wanaonewa" sijui wapewe upendeleo kwenye key posts ndani ya Serikali na jeshi la DRC, as if Congo nzima ina kabila moja tu who counts a lot!!! Mnachonga vikundi na kivipa silaha ili vivuvuruge DRC, alafu manjifanya hamuhusiki. Tatizo lenu kubwa linatokana na majivuno ya kijinga - sisi tunao wajuwa kwa karibu - we know you were primed/brainwashed tangu mkiwa watoto wadogo kuyachukulia makabila mengine kana kwamba hayana akili ni nyinyi tu Mungu aliye wapa passport ya kutawala wengine hata mkiwa in a minority you don't even bother 2 borrow a leaf from Frederik Willem de Klerk - a former Apartheid South African Leader - matatizo yote tunayo shuhudia katika kanda hii ya bara letu la Africa yanatokana na tabia zenu hizo za kujiona mko-Superior - na ujinga wenu huo msipo jirekebisha mapema ndio utawamaliza!! Narudia kusema ndoto zenu za kuigawa Congo DRC, ku-occupy mkoa wa Kagera ndoto zote hizo will never see the light of day, zitabaki ni ndoto tu mpaka mwisho wa DUNIA, hakuna cha BAHIMA EMPIRE wala nini sijui.
 
Na mimi nakubaliana na hilo. Tuwaache Wacongo nao wafurahie amani na utulivu ndani ya nchi yao. Ila nasikia Angola imeombwa kuja kukalia maeneo yote hayo yaliyoachwa na M23 jirani na mpaka wa Rwanda na Uganda. Kwa mtindo huo sidhani kama PK ataendeleza visingizio vyake.

SADC at work no going back
 
Amina, na IWE.
 
Nashukuru na mimi pia nimenufaika sana na michango ya wanazuoni waliyoitoa humu. Sikutegemea kama huu uzi ungefika huku.

FLASH HIDER kweli umefanikiwa kizijibu zile why? why? why? za wa tz tulichoshwa na hoja kina ccm na cdm humu japo JWTZ huwa si watu wa makeke kwa mitandao their very silence
 
Back
Top Bottom