swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sana