Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

sina uhakika kama kuna mtu anaweza kukutafutia kazi nje ya nchi,cha kufanya kusanya taarifa za kutosha then jilipuwe mwenyewe ili yakikukuta usije laumu mtu,nakushauri tafuta hela ya kuanzia maisha jilipue mwenyewe kivyako vyako baada ya collection of information hayo ndiyo maisha ya baharia
Nakushuru Sana mkuu Kama nitapata maswali mengine nitakuja nayo
 
Soweto2006

Umekaa S. Africa miaka 25 unafikiria system ya huko na hapa Tanzania itatuchukua muda gani sisi kama watanzania kuamka hasa kwenye sector ya kilimo kuwa tukiamua kuwekeza tuwekeze kweli ?

Afrika inaongelewa kuwa tunaongoza kwa uvivu na watu wa kubweteka sana unafikiri nini kifanyike na unaona kitu gani hasa kwa Tanzania wapi turekebishe wapi tuanzie? Neno moja pia kuhusu uzalendo kabla yakufikiria kuondoka Tanzania na pia Taifa letu linazungumzwaje na S.Afrika yani mtanzania nini kinamtambulisha nje Tanzania?
tanzania mna bahati mbaya sana ya kumpoteza magufuli,japokuwa mimi sio mwanasiasa lakini for sure magufuli alikwa naelekea kubadilisha system ya tanzania kabisa,sasa kaondoka sijui itakuwaje,mimi naamini kiongozi wa nchi ana impact kubwa kwenye future ya nchi,kinachotakiwa hapo lazima itengenezwe system mpya ili kila kiongozi apite juu yake,lakini ni ngumu sana na historia ya tanzania inafanana na zambia baada ya yule Rais wao Satta kufariki Zambia kwisha kabisa haitamaniki,
 
Akikujibu atakwambia u google?
Sawa mtu mzima, ila angalia heading ya uzi wako, ulisema swali lolote,......
unaweza kuta hiyo taarifa ina msaada fulani kwangu, anyway tunajuana watanzania ngoja watoto tuache kukusumbua businessman.
 
In
machimbo yote au madini yote Botswana na south Africa ni mali ya serikali,kuna special police wa kushughulikia mambo ya madini huku,kwa ujumla haiwezekani
Una maanisha hakuna mtu aliyewekeza kwenye uchimbaji na hakuna wachimbaji wadogowadogo au serikali ndiyo inasimamia mambo ya uchimbaji?
 
mkuu mimi ni mtu mzima kidogo hayo mambo weka pembeni nataka nisaidie wenye kuitaji taarifa,namba 26 sina uhusiano nayo kabisa mimi ni legitimate business man
Usikwepe swali mkuu,,

Kama ulikaa south kwa miaka 26 maana yake unajuwa vingi..

Na hata sehemu uliyotaja unaishi yote ni kukwepa maswali..
Sababu unajuwa kabisa watanzania wengi hawakai Soweto..

Toa majibu ya namba 26 vinginevyo ni post uchwara.
 
Usikwepe swali mkuu,,

Kama ulikaa south kwa miaka 26 maana yake unajuwa vingi..

Na hata sehemu uliyotaja unaishi yote ni kukwepa maswali..
Sababu unajuwa kabisa watanzania wengi hawakai Soweto..

Toa majibu ya namba 26 vinginevyo ni post uchwara.
Unalazimisha kitu ambacho bussnessman, hakijua mkuu.
 
In

Una maanisha hakuna mtu aliyewekeza kwenye uchimbaji na hakuna wachimbaji wadogowadogo au serikali ndiyo inasimamia mambo ya uchimbaji?

not easy mkuu,mambo ya madini yanasimamiwa na serikali,hiyo ndio maana ya uchumi wa kati kwa African countries
 
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).

Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Kwanini Elion Musk hatambuliki kama mwafrika alihali inaonsha South Africa ndo asili yake
 
Usikwepe swali mkuu,,

Kama ulikaa south kwa miaka 26 maana yake unajuwa vingi..

Na hata sehemu uliyotaja unaishi yote ni kukwepa maswali..
Sababu unajuwa kabisa watanzania wengi hawakai Soweto..

Toa majibu ya namba 26 vinginevyo ni post uchwara.
mkuu kama nilivyosema mimi nadeal zaidi na business zangu ambazo hazina uhusiano wowote na namba 26,
nimeamua kuja hapa kwa sababu nimeamua kusaidia kutoa information kwa watanzania wenzangu ambao wanahitaji,sasa ukiona nashindwa kujibu swali lako nikanyamaza naomba uheshimu kwa sababu hiyo ni haki yangu kwenye kujibu maswali,mimi naweza kusaidia anayetaka kujua zaidi kuhusu maisha ya huku
 
swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sana
HATA HAPA TANZANIA KUMILIKI GARI INGESTAILI IWE KWA WATU WOTE,SHIDA YA HAPA NI CHOYO ZA MAMLAKA KUTOTAKA WATU WAMILIKI VYOMBO HIVI MAANA GARI UNAWEZA UKAINUNUA HATA SHILINGI 1.5 MPAKA DAR SHIDA NA CHOYO NI PALE SEREKALI YETU INAKUJA KUKUTAKA ULIPIE MARA 4 YA BEI YA KUNUNULIA THATS PROBLEM,GARI NI CHOMBO CHA KUMSAIDIA MTU KURAHISISHA MAENDELEO NA SI LUXURY equip.
 
Back
Top Bottom