Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

hakuna kosa kubwa kama kuwaza kumwondoa kaburu nchi hii,kaburu akiondoka na nchi inakufa manake ndiye ameshika uchumi,mwafrica ameshika siasa,
kaburu ana uwezo mkubwa kwenye mambo yao ya utendaji,kama ni mkulima anakuwa mkulima kweli do or die,sisi hatuwezi bado tutulie tu hapa Johannesburg tuuze matunda na ndizi za kaburu
Waambie tu watakuwa kama Zimbabwe. Banda ya kumwondoa mzungu uchumi chali.
 
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).

Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Vipi mtazamo wa wenyeji waafrika kusini kwa watanzania, je bado wanawaua?
 
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).

Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.

Nasikia 99% ya wabongo huko DIZONGA wanauza BWIMBWI?
 
swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sana
Waambie pia kodi za magari Botswana ni ndogo sana kulinganisha na Tanzania.
 
tanzania mna bahati mbaya sana ya kumpoteza magufuli,japokuwa mimi sio mwanasiasa lakini for sure magufuli alikwa naelekea kubadilisha system ya tanzania kabisa,sasa kaondoka sijui itakuwaje,mimi naamini kiongozi wa nchi ana impact kubwa kwenye future ya nchi,kinachotakiwa hapo lazima itengenezwe system mpya ili kila kiongozi apite juu yake,lakini ni ngumu sana na historia ya tanzania inafanana na zambia baada ya yule Rais wao Satta kufariki Zambia kwisha kabisa haitamaniki,
Nimeanza kukuona mtu wa hovyo.. Magufuli amesaidia nini zaidi ya kutesa watu na watu kupotezwa?
 
not easy mkuu,mambo ya madini yanasimamiwa na serikali,hiyo ndio maana ya uchumi wa kati kwa African countries
Sheri ya madini kwa hizi nchi ni kwamba chochote kilicho chini ya ardhi ni mali ya Serikali. Hakuna mtu anaruhusiwa kumiliki na ole wako upatikane nayo.
 
SA pazuri sema raia wake bwana fujo tupu

Nikishindwa mikukuta yangu itakua last option
 
...kila kitu hapa kinafanywa na serikali,elimu,afya,gharama za kuishi kama maji na umeme vyote vinafanywa na serikali,mzawa akizaa mtoto atapewa R400 sawa na Sh 80000 kwa mwezi mpaka mtoto atimize miaka 18,ssasa utakuta wazawa wanashindana kuzaa manake anajua akizaa 10 ana R4000 pamoja na free services
Nahisi mzee baba late Pombe alitaka kufika hatua hii !! 😂.

But chief hongera naona unajibu maswali vyema siyo kama vijana flani..!
 
Mimi bwege ,unaonekana una matatizo kichwani?.sijui msongo wa mawazo .Sasa Mimi na wewe Nani anaonekana bwege kwa uhalo unaotapika ? Wavulana wa siku hizi mna tope nyingi kichwani .Sasa iyo ban unayotafuta unafikiri ntakutafutia Mimi?
Na ambao hawafahamu iyo26 wamepungukiwa Nini labda?
Sawa mkuu...ila mm sihitaji kujuwa namba 26 maana yake.

Sababu mimi najuwa nini maana yake,,
na wala siwezi kuweka hapa sababu sio uzi wangu.

Kuna wadau ndy walimuuliza mleta post .

Namimi nikakazia lile swali baada ya kuonekana mleta post analikimbia swali..

Kuna tatizo?
 
Usikwepe swali mkuu,,

Kama ulikaa south kwa miaka 26 maana yake unajuwa vingi..

Na hata sehemu uliyotaja unaishi yote ni kukwepa maswali..
Sababu unajuwa kabisa watanzania wengi hawakai Soweto..

Toa majibu ya namba 26 vinginevyo ni post uchwara.
KUMEKUCHA KUMEKUCHA

Ngoja na Kondamsafi naye aje.
 
Back
Top Bottom