Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Soweto2006 mkuu Kama Nina cheti elimu ya ordinary diploma in hydrology and metereology pamoja na Cha bachelor engineer katika water resources na irrigation kutoka hapa Tanzania naweza kupata kazi Hapo Botswana au Namibia..maana dah hapa bongo wametunyima ajira kabisa
Mkuu labda utakuwa unachagua kazi na mshahara nini,mbona kada yako inauwanja mpana sana serikalini
 
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).

Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Ni kweli wanawake wa South Africa wanapenda sana ku date na wageni? Wanadai eti wanaume wa kizulu hawako romantic
 
Nipe muongozo , wa kuanza kuishi Botswana, nikiwa sina mwenyeji huko.. Naanzaje maisha, cost of living zipoje,? Plus renting house, security kwa foreigners ipoje? Embu funguka ..

Fani yangu, ni fundi umeme , na Nina leseni ya kuendesha gari
 
Kwa nini mama ntilie wa Botswana anamiliki toyota alphard au Harrier,wakati mama ntilie wa TZ hawezi kumiliki hata pampu ya baiskeli?
Usipite bila kujibu tafadhali.
unamjua shishi bby wew
 
Sawa mkuu...ila mm sihitaji kujuwa namba 26 maana yake.

Sababu mimi najuwa nini maana yake,,
na wala siwezi kuweka hapa sababu sio uzi wangu.

Kuna wadau ndy walimuuliza mleta post .

Namimi nikakazia lile swali baada ya kuonekana mleta post analikimbia swali..

Kuna tatizo?
Tatizo ni kuniita baba ninaeongoza familia yangu bwege mkuu
 
tanzania mna bahati mbaya sana ya kumpoteza magufuli,japokuwa mimi sio mwanasiasa lakini for sure magufuli alikwa naelekea kubadilisha system ya tanzania kabisa,sasa kaondoka sijui itakuwaje,mimi naamini kiongozi wa nchi ana impact kubwa kwenye future ya nchi,kinachotakiwa hapo lazima itengenezwe system mpya ili kila kiongozi apite juu yake,lakini ni ngumu sana na historia ya tanzania inafanana na zambia baada ya yule Rais wao Satta kufariki Zambia kwisha kabisa haitamaniki,
bahati kupiga lissu risasi kuwa serious bwana
 
Kwa nn unajibu ...." Mara hapa SA au hapa Botswana...." Uko wapi wewe
 
Hapa u
tanzania mna bahati mbaya sana ya kumpoteza magufuli,japokuwa mimi sio mwanasiasa lakini for sure magufuli alikwa naelekea kubadilisha system ya tanzania kabisa,sasa kaondoka sijui itakuwaje,mimi naamini kiongozi wa nchi ana impact kubwa kwenye future ya nchi,kinachotakiwa hapo lazima itengenezwe system mpya ili kila kiongozi apite juu yake,lakini ni ngumu sana na historia ya tanzania inafanana na zambia baada ya yule Rais wao Satta kufariki Zambia kwisha kabisa haitamaniki,
Nahisi hapa hutaeleweka sana
 
Mku Dege la Jeshi na akina Damas wako mji gani kwani miaka mingi sana.
Wasalimie akina Shalamaa,Kigu,Manilajiblota ,Damas ,Dege la Jeshi na Mzulu Mbongo.
Vipi Urope na The Loyd bado ipo
 
Wewe bwege usinitafutie ban.

Mtu anaposema uliza chochote kuhusu south anamaanisha nn?

Hilo la namba 26 ni swali la msingi sana.
Kwa faida ya wengi.

Yeye mtoa post alishanijibu kama hawezi kujuwa na mm nilishamalizana nae. .
Mabaharia tulishamuelewa mleta post,,ndy maana mikausho mikali.
Namba hz niza za watu walio wahi kukaa jela,kwaio km yy hakuwahi kukaa jela si rahisi kuzifafanua sa'bu zina vipengele vingi na atapata mabishano kwa wanao zijua hz namba 26,27 na 28 ni namba za wahalifu hua wanapeana jela, so km yy ni bussiness man usi mlaumu
 
sina uhakika kama kuna mtu anaweza kukutafutia kazi nje ya nchi,cha kufanya kusanya taarifa za kutosha then jilipuwe mwenyewe ili yakikukuta usije laumu mtu,nakushauri tafuta hela ya kuanzia maisha jilipue mwenyewe kivyako vyako baada ya collection of information hayo ndiyo maisha ya baharia
Nafikiri tatizo letu Watanzania ndiyo huanzia hapo. Kwa Wanaijeria ni tofauti. Wewe hapo mpe channel, halaf yeye atajua mwenyewe achague kipi.
 
Back
Top Bottom