Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kuna mzee alikuwa anaendesha night club inaitwa Zebra club Mogoditshane bado yupo?Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).
Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Napenda kufahamu kwa nini Wazulu wengi SA ndio wameshikilia SERIKALI?Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).
Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sanaKwa nini mama ntilie wa Botswana anamiliki toyota alphard au Harrier,wakati mama ntilie wa TZ hawezi kumiliki hata pampu ya baiskeli?
Usipite bila kujibu tafadhali.
machimbo yote au madini yote Botswana na south Africa ni mali ya serikali,kuna special police wa kushughulikia mambo ya madini huku,kwa ujumla haiwezekaniVipi kuhusu machimbo ya dhahabu Botswana?
dikoko na ligomoKuku wanaitwaje huko
Na pombe ina jina gani halfu minada inaitwaje vile ?
inabidi ufanye research kwanza,mimi sipo kabisa kwenye hiyo line,panda basiNina bidhaa za asili za urembo vipi soko huko naweza Pata?
Asanteinabidi ufanye research kwanza,mimi sipo kabisa kwenye hiyo line,panda basi
sio easy mkuu,ukitaka kwenda ulaya illegally pitia Libya MoroccoKuna urahisi wowote wa kufika ulaya na marekani kupitia SA kwa njia yeyote iwe legal au illegal way?
Vp mkuu ubaguzi wa rangi hali ikoje kwa sasa huko S.A? Botswana wageni hawabaguliwi?sio easy mkuu,ukitaka kwenda ulaya illegally pitia Libya Morocco
Kutoka bongo hadi morocco au libya naanzia wapi?sio easy mkuu,ukitaka kwenda ulaya illegally pitia Libya Morocco
minja au markus?Kuna mzee alikuwa anaendesha night club inaitwa Zebra club Mogoditshane bado yupo?
ubaguzi upo sana inategemea na wewe umejiandaa vipi kupambana na life,ubaguzi ni bure kabisa kwa mpambanaji,ulikuja kupendwa au kutafutaVp mkuu ubaguzi wa rangi hali ikoje kwa sasa huko S.A? Botswana wageni hawabaguliwi?
Je, kwa mtu asie raia wa S.A au Botswana kuna kazi gani za kupata haraka bila kujali profession?
mkuu fanya utaratibu elekea chad huko utapata njia,ila nakushauri jifunze kwanza kuogeleaKutoka bongo hadi morocco au libya naanzia wapi?
Naomba njia rahisi za kuishi hapo bot kisheria.swali zuri sana!!nataka ujuwe kwamba maisha ya Botswana ni uchumi wa kati,tulisikia Tanzania imekuwa uchumi wa kati nafikiri bado sana kulinganisha na nchi kama Botswana,mama nitilie wa hapa anamiliki gari nzuri hata muuza genge naye ana gari yake amepaki pembeni,hiyo ikilinganisha na tanzania inatokana kwanza population halafu kuna mambo ya international financial stability pia kuna mambo kama ya international trade,,,yapo mengi lakini mambo ya small business kumiliki magari kwa hapa boswana ni jambo la kawaida sana
kwanza uwe na skill au trade,then uwe na mtaji kwa ajili ya kuanza maisha,unakuja una apply residence and working permitNaomba njia rahisi za kuishi hapo bot kisheria.
Chad tunaingia kwa viza?mkuu fanya utaratibu elekea chad huko utapata njia,ila nakushauri jifunze kwanza kuogelea
naishi Orlando west SowetoUko pande za wapi Mkuu huko Africa kusini?