Soweto2006
Member
- May 8, 2021
- 45
- 210
- Thread starter
-
- #41
mkuu fanya utaratibu hapo ulipo,ingia google au fanya utafiti,manake kama unashindwa vitu vidogo namna hii ina maana hata hiyo safari itakuwa ngumuChad tunaingia kwa viza?
Nikifika chad naanzaje kufika morocco na libya?
Dreva,fundi............vipi wanapata shavu hapo na ukija na familia kuna ugumu?kwanza uwe na skill au trade,then uwe na mtaji kwa ajili ya kuanza maisha,unakuja una apply residence and working permit
hiyo trade nzuri,familia inabaki kwanza unatest mitambo imekaaje,manake wengi wanakuja wanashindwa inabidi tuwachangie nauli za kurudiDreva,fundi............vipi wanapata shavu hapo na ukija na familia kuna ugumu?
mkuu mimi ni mtu mzima kidogo hayo mambo weka pembeni nataka nisaidie wenye kuitaji taarifa,namba 26 sina uhusiano nayo kabisa mimi ni legitimate business manKwa hiyo maswali yetu kuhusu namba 26 umeyapotezea? Jibu hata kwa uongo
mmeambiwa muulize maswali ya akiliKwa nini mama ntilie wa Botswana anamiliki toyota alphard au Harrier,wakati mama ntilie wa TZ hawezi kumiliki hata pampu ya baiskeli?
Usipite bila kujibu tafadhali.
mkuu fanya utaratibu hapo ulipo,ingia google au fanya utafiti,manake kama unashindwa vitu vidogo namna hii ina maana hata hiyo safari itakuwa ngumu
mmeambiwa muulize maswali ya akili
sawa mkuuHujaona kama amejibu na akasema ni swali zuri sana.
mkuu mimi ni mtu mzima kidogo hayo mambo weka pembeni nataka nisaidie wenye kuitaji taarifa,namba 26 sina uhusiano nayo kabisa mimi ni legitimate business man
mkuu nataka ufahamu ya kwamba nchi hii haina mpango sana na vyeti vyako,mimi nimewahi kufanya kazi makampuni mbalimbali bila kuulizwa cheti au level of education,nataka ujuwe makampuni mengi hapa ni ya kaburu na hao watu ni watu wa kazi,hawana mpango na kujua level ya elimu yako,yeye anataka kujua can you do it???can you deliver???mambo ya vyeti ni Tanzania zaidi na ndio life style ya huko,nakushauri uwe na skill au trade hata vyeti unaweza kuacha hukioSoweto2006 mkuu Kama Nina cheti elimu ya ordinary diploma in hydrology and metereology pamoja na Cha bachelor engineer katika water resources na irrigation kutoka hapa Tanzania naweza kupata kazi Hapo Botswana au Namibia..maana dah hapa bongo wametunyima ajira kabisa
USD1000 unaweza kuuza matunda na ndizi na ikalipaNikiwa na 5M za kibongo naweza kuja kufanya biashara gan huko SA
Kuish Tz nmechoka na sina ramani mkuu
Ok kwa mfano Nina fani ya plumbing, maintenance and installation ya vifaa vya kupima hali ya hewa, designing ya miradi ya maji,ujenzi kidogo...Kama sehemu ipo nitafutie Kaka nije huko ntakuja na nauli yangu ya kurudi pia Kama nikiona nimeshindwamkuu nataka ufahamu ya kwamba nchi hii haina mpango sana na vyeti vyako,mimi nimewahi kufanya kazi makampuni mbalimbali bila kuulizwa cheti au level of education,nataka ujuwe makampuni mengi hapa ni ya kaburu na hao watu ni watu wa kazi,hawana mpango na kujua level ya elimu yako,yeye anataka kujua can you do it???can you deliver???mambo ya vyeti ni Tanzania zaidi na ndio life style ya huko,nakushauri uwe na skill au trade hata vyeti unaweza kuacha hukio
Markus, alikuwa anavaa miwani. Mwenzake minja nafikiri.minja au markus?
sina uhakika kama kuna mtu anaweza kukutafutia kazi nje ya nchi,cha kufanya kusanya taarifa za kutosha then jilipuwe mwenyewe ili yakikukuta usije laumu mtu,nakushauri tafuta hela ya kuanzia maisha jilipue mwenyewe kivyako vyako baada ya collection of information hayo ndiyo maisha ya bahariaOk kwa mfano Nina fani ya plumbing, maintenance and installation ya vifaa vya kupima hali ya hewa, designing ya miradi ya maji,ujenzi kidogo...Kama sehemu ipo nitafutie Kaka nije huko ntakuja na nauli yangu ya kurudi pia Kama nikiona nimeshindwa
wapo GaboroneMarkus, alikuwa anavaa miwani. Mwenzake minja nafikiri.
Ok, asante mkuu. Ukienda wape hi. Vipi Fortune unampata?wapo Gaborone