Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Mkuu labda utakuwa unachagua kazi na mshahara nini,mbona kada yako inauwanja mpana sana serikalini
 
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).

Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Ni kweli wanawake wa South Africa wanapenda sana ku date na wageni? Wanadai eti wanaume wa kizulu hawako romantic
 
Nipe muongozo , wa kuanza kuishi Botswana, nikiwa sina mwenyeji huko.. Naanzaje maisha, cost of living zipoje,? Plus renting house, security kwa foreigners ipoje? Embu funguka ..

Fani yangu, ni fundi umeme , na Nina leseni ya kuendesha gari
 
Kwa nini mama ntilie wa Botswana anamiliki toyota alphard au Harrier,wakati mama ntilie wa TZ hawezi kumiliki hata pampu ya baiskeli?
Usipite bila kujibu tafadhali.
unamjua shishi bby wew
 
Tatizo ni kuniita baba ninaeongoza familia yangu bwege mkuu
 
bahati kupiga lissu risasi kuwa serious bwana
 
Kwa nn unajibu ...." Mara hapa SA au hapa Botswana...." Uko wapi wewe
 
Hapa u
Nahisi hapa hutaeleweka sana
 
Mku Dege la Jeshi na akina Damas wako mji gani kwani miaka mingi sana.
Wasalimie akina Shalamaa,Kigu,Manilajiblota ,Damas ,Dege la Jeshi na Mzulu Mbongo.
Vipi Urope na The Loyd bado ipo
 
Namba hz niza za watu walio wahi kukaa jela,kwaio km yy hakuwahi kukaa jela si rahisi kuzifafanua sa'bu zina vipengele vingi na atapata mabishano kwa wanao zijua hz namba 26,27 na 28 ni namba za wahalifu hua wanapeana jela, so km yy ni bussiness man usi mlaumu
 
Nafikiri tatizo letu Watanzania ndiyo huanzia hapo. Kwa Wanaijeria ni tofauti. Wewe hapo mpe channel, halaf yeye atajua mwenyewe achague kipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…