Uliza swali lolote kuhusu Botswana au Afrika Kusini na nitakujibu

Mbona huko pazuri asee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Nina bidhaa za asili za urembo vipi soko huko naweza Pata?
Wazulu wanapenda kuishi kitamaduni SA unauza na hasa hapo mabonneng unaweza kuomba eneo dogo ukawa unauza vitu vyako tatizo kwa mwanzoni utapata tabu kidogo ya soko na pia unatakiwa uende kipindi cha summer time kuanzia mwezi Nov na Dec ndio wageni wanakua wengi pia...ungekua na mwenyeji ungeweza kuwapelekea kwa kuwasambazia JHB CBD maana maduka ya vitu vya asili yapo mengi ila inatakiwa uangalie wanavyovaa wao usipeleke vitu vya asili ya Tanzania kule...
 
Sio rahisi kupata residency au working permit SA wengi wametapeliwa huko njia rahisi huwa unafungua kampuni SA harafu ukija Tanzania unakuja na hizo documents zako za kampuni wanakupa miaka miwili au mitatu inategemeana na ulivyowakuta ila SA hizo nyingi wanatoa fake harafu ukiamua kutoka au kuingia Oliver Tambo wanaifuta...
 
nasikia hawafiki milion 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…