Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Master Mason ni ngazi ya tatu, Mimi ni master Mason. Nimeuza nafsi kwa shetani.

Mengi alikuwa master Mason in a cable tow ritual.
Sasa hilo fumbo ulilosema utanifumbulia ambalo nikilijua nitajiunga nawe ni lipi? Kwamba huo moto ambao utakwenda na Lucifer si huu tunaoujua?

You are at the point of no return. Direct to hell. Lol
 
Sasa hilo fumbo ulilosema utanifumbulia ambalo nikilijua nitajiunga nawe ni lipi? Kwamba huo moto ambao utakwenda na Lucifer si huu tunaoujua?

You are at the point of no return. Direct to hell. Lol
Hahahaaaa. Ndugu usiwe na pupa hili fumbo utalitambua kuwa na staha.
 
Endapo mwenyezi Mungu atapenda? Are you still controlled by God?
Hahahaaaa, kijana unakuwa mgumu kuelewa Kama ni mkristo enenda ukasome biblia vizuri hasa ufunuo wa yohana.

Na nyakati zile za mwisho zimekwisha karibia, na nitakuwa na manabii wa uongo na wataja jina la yesu, watafanya ishara na miujiza.

ili uwe freemason lazima uamini kuwa Mungu Mwenyezi yupo hai. Na anaweza kila kitu.
 
Kwa hiyo wanataka uamini uwepo wa Mungu, kisha umkane wazi wazi ukijua kuwa yupo?
 
Umewahi kumuona huyo Lucifer? Najua ana muda mchache wa kuwa huru kabla ya kufungwa.

Ulisema wanachama wanapokea bahasha nyeusi huku wanalia, kwa nini wanalia?
Hapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.

Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
 
Hapana Mimi sikuzungumza kuhusu bahasha nyeusi, Wala kulia.

Shetani unaweza kumhonga hata wewe ambae haupo freemason, shetani kila jumatatu Kama leo hutembea duniani akiwa amevaa suti nyeusi,gari nyeusi Mercedes Benz.
Huyu huyu lucifer mkuu mwenyewe (joka jekundu)?
 
Hiloni jibu sahihi hii ni Vita ya Mungu na shetani.

Mfano mzuri ni Adam na Eva walivyo.mkana Mungu wakala tunda.
Oooh kumbe... wanajua ukiamini kuwa hayupo then hata ukimkana hakutokuwa na uzito wowote, so wanataka uamini kabisa yupo kisha umkane ili kama ni hatia basi uwe nayo 100% na usije kusema umeonewa. Aisee!
 
 
Haya ni Matapeli,yanatumia beno wajenzu huru kwa watu wajinga kujipatia kipato ,
 
Free
Freemasonry ni organisation. Hii ni organisation sio kanisa hilo swala la ibada sijui unalitoa wapi pale sio kanisani na katika mikutano wanaanza na ombi kama lilivyo bunge tu.
Hakuna ushahidi wowote wa kanumba kuwa freemason. Anajua mwenyewe ni ritual zipi alikuwa anashiriki, sikuizi kuna cult nyingi tu za kujitajirisha kama iringa kule utakutana na wakinga wana cult zao, wachaga pia wanazo, wanyakyusa pia, ukienda shinyanga huko kahama kuna cult zao na wanahela zao chafu tu zenye mashart kibao..sasa watu wakiona hivyo wanawaita hao watu ni Freemasonry kumbe wapi...
Narudia tena Freemason hawagawi pesa kwa members, but members wanatoa misaada kwa maskini.
Freemasonry kama organisation wako na sheria zao kama vile kuweka siri za kambi maana sio busara kila mtu ajue yanayoendelea lodge vivyohivyo hakuna organisation inayokuwa transparency kwenye kila kitu. Ukitaka kujua sana kuhusu freemasonry mtafute member akutambulishe kama uko vizuri watakupenda utajiunga na kujua mengi mazuri na utabaki kuwacheka wabongo wengi walio shadowed abt this beautiful organisation.
 
K
Ama hujui kitu ebu acha basi kuudanganya umma. No research no right to speak. Why unaichafua Freemasonry?? Hakuna kitu kama kafara kwenye hiki chama pendwa. Na mtu kama wewe sio masonry sasa haya mambo unayoandika hapa umeyatoa wapi? Au ndio story za vijiweni?? Acha huo utoto bwana
 
Sasa una bisha nini mkuu...kwani mkuu wa giza ni nani?

Na hao unaosema wana cult zao wanamtumikia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…