Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
- Thread starter
- #381
Amedanganya huyu au siyo m
Geodave au nabii mkuu huyu ni mshirika wa freemason siku nyingi, aliuza nafsi yake kwa ajili ya pesa,Mbona wengine wanakufa natural deaths tu?
Machozi? Kwa nini walie?
Whaaaaat? Sasa mbona wanatumia jina la Yesu? Kwamba akina jiyodevii wanaweza kuwa masonic?
Hapana klabu ya Yanga haipo katika jumuiya hii isipokuwa tajiri mmoja hapo anahusika.Khaaa kwahiyo YANGA nao wapo huko
😅😅😅😅
Huu ni msemo na msimamo wetu kuwa hakuna nafasi kurejea nyuma kwa jambo lolote kuhusu freemason.