Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Amedanganya huyu au siyo m
Mbona wengine wanakufa natural deaths tu?

Machozi? Kwa nini walie?

Whaaaaat? Sasa mbona wanatumia jina la Yesu? Kwamba akina jiyodevii wanaweza kuwa masonic?
Geodave au nabii mkuu huyu ni mshirika wa freemason siku nyingi, aliuza nafsi yake kwa ajili ya pesa,

Khaaa kwahiyo YANGA nao wapo huko
😅😅😅😅
Hapana klabu ya Yanga haipo katika jumuiya hii isipokuwa tajiri mmoja hapo anahusika.

Huu ni msemo na msimamo wetu kuwa hakuna nafasi kurejea nyuma kwa jambo lolote kuhusu freemason.
 
Kama unalijua hilo kwanini umejiunga? Tuondolee utapeli wenu apa 🫤🫤🫤
Ngoja nikueleweshe tatizo watanzania hamtaki kuumiza vichwa kuchambua.

Unaambiwa freemason ni shirika ambalo sio la kiserikali, ni shirika ambalo linajitegemea binafsi kwa kutoa misaada katika jamii. Na misaada hii hutoa wanachama ambao huchanga fedha, Basi mtu anajiunga hatua ya kwanza ambapo unafundishwa maadili,kanuni na Sheria zao. Baada ya hapo unatawazwa kuwa mwanachama, unaingia ngazi ya kwanza wanaita entered apprentice, ngazi ya pili wanaita fellow craft, ngazi ya tatu wanaita master Mason, Sasa hapa unajua Siri nyingi hakuna kutoka Wala kurudi nyuma,
 
Umesema vyema sana. Hawa wazee wa suti watu wa gizani watu wabaya sana halafu ukiona show off zao na lavish life ukijichanganya utafyeka ukoo wako wote na mwishoni watakukula wewe huko ni forward ever backward never ukijitosa wanachomoa nafsi na kuiweka kifungoni huku duniani unakuwa copy yani mwili wako with a lot of demons ndio maana matendo yao mengi ni ya kinyama sana "unyama mwingi" kama wasemavyo wenyewe na hawana cha kupoteza. What shall it profit a man if he gains the whole world and get lost of his own soul?.
Freemason kafara sio kumwaga damu ya binadamu, no wao hufanya ibada za Siri na kumwaga damu ya mbuzi.

Wanacho kufanya ni kuchukua nafsi yako hii Ina maana kwamba hata uombe vipi huwezi kusalimika, ni kwamba umemkataa Mungu Mwenyezi halafu umeuza nafsi na roho kwa shetani, ukifa unakuwa mtu wake shetani atakutesa Sana, Mali haramu na anasa ni miliki za shetani.

Shetani anatambua wanadamu wa Karne hii wanapenda pesa Basi anawapa pesa huku wewe unampa nafsi yako. Hakuna kumwaga damu ya binadamu.
 
Simdanganyi mtu na huo mda sina,kauliza namna ya kutoka .. ..
Ninafahamu kama keys zilizotumika ni giza,but keys zitakazotumika ni za nuru,ubaya ni shetani na wafuasi wake wanawaingiza watu katika viapo vya kuuwa roho,na makufuru ambapo huwezi kurudi nyuma,
Neno linasema kila dhambi atasamehewa binadamu lakini si kumkufuru roho,elewa hapa ni roho ya Mungu inayoongelewa,kama hajafika stage hii basi uwekano upo na hamna wa kumtisha si shetani wa jini wala kikaragosi chochote,kama walivyo apa kutumikia shetani ,jawabu ni simple kubadili njia na kuapa kumtumikia Mungu,ugumu unakuja hapa je usahihi wa wapi na nani ni sahihi na njia ya kweli ni ipi? Ni moja tu kristo yesu.wala hamna wa kukutisha nasema hivi hamna nasema tena hamna,ila si wote duniani wanafaa kumtumikia yesu,kuna watu nafasi zao ni makapi na magugu na neno limeeleza.
Uliwahi kuwepo huko? I mean in the Masonry?
 
U
Ilikuwaga secret society enzi izo labda na hapa bongo ila nje sio secret society kiivyo, kilichojificha ni meaning behind the symbols ambazo pia sio siri tena. Aim ya Freemasonry is to make good men better. You can't join if you are pagan kwanza lazima uamini mungu yupo. Its more about social engagement, charity, and man improvement, utapata true brothers and friends who will be there for you always no matter whaaa..utafundishwa on how to be confident in public in talking, taking responsibilities, kuwa humble and that's why mostly influential people hujiunga masonry ili waimprove baadhi ya aspects katika maisha...ebwana mambo ni mengi but kila lodge ina mafundisho tofauti lakini misingi ni hiyo so hakuna mambo ya uchawi wala kafara usikubali kutapeliwa. Utafanikiwa kwa sababu ya kukutana na waliofanikiwa katika lodge yako na kujiassociate nao vizuri. Nadhani utakuwa umenielewa ila kama hutaki kuelewa endelea kuwa mbumbumbu
Umeeleza vizuri, lakini umetoa elimu ya uongo. Hebu nikuulize swali unijibu.

Freemason ni nini..?

Kwanini ibada inakuwa Siri wakati taasisi ama shirika zingine hakuna Siri katika ibada.

Kwanini Steven Charles kanumba, aliimba nyimbo za kusifu na kuabudu kuomba msamaha kwa Mungu Mwenyezi.
 
Freemason kafara sio kumwaga damu ya binadamu, no wao hufanya ibada za Siri na kumwaga damu ya mbuzi.

Wanacho kufanya ni kuchukua nafsi yako hii Ina maana kwamba hata uombe vipi huwezi kusalimika, ni kwamba umemkataa Mungu Mwenyezi halafu umeuza nafsi na roho kwa shetani, ukifa unakuwa mtu wake shetani atakutesa Sana, Mali haramu na anasa ni miliki za shetani.

Shetani anatambua wanadamu wa Karne hii wanapenda pesa Basi anawapa pesa huku wewe unampa nafsi yako. Hakuna kumwaga damu ya binadamu.
Je, re ji.nadi M.3ng1 alikuwa mmoja wao?
 
Hii thread watatapeliwa vilaza wengi sana 🤣🤣🤣👋

Kichwa kisicho na maarifa ni mzigo kwa shingo 🫤🫤🫤
Hapana madam sisi hatupo hapa kuchukua pesa ya mtu.

Watanzania wanatapeliwa kwa kukosa maarifa wavivu wa kuumiza kichwa.

Hapa tunatoa elimu na kujadiliana kukomesha maovu ya lusse fere, yaani Lucifer.
 
U

Umeeleza vizuri, lakini umetoa elimu ya uongo. Hebu nikuulize swali unijibu.

Freemason ni nini..?

Kwanini ibada inakuwa Siri wakati taasisi ama shirika zingine hakuna Siri katika ibada.

Kwanini Steven Charles kanumba, aliimba nyimbo za kusifu na kuabudu kuomba msamaha kwa Mungu Mwenyezi.
Kwa hiyo hapo wewe umeshajitoa muhanga kwamba ni wa motoni?
 
U

Umeeleza vizuri, lakini umetoa elimu ya uongo. Hebu nikuulize swali unijibu.

Freemason ni nini..?

Kwanini ibada inakuwa Siri wakati taasisi ama shirika zingine hakuna Siri katika ibada.

Kwanini Steven Charles kanumba, aliimba nyimbo za kusifu na kuabudu kuomba msamaha kwa Mungu Mwenyezi.
Kanumba alishafikia hatua ya kuuza nafsi na roho?
 
Kila mwanachama lazima auze nafsi yake na roho kwa shetani.

Dollar laki 1 unazawadiwa ukiwa mwanachama wao.

Je nikuulize utaweza kulipa gharama alizokupa mkuu wa Giza.
Gharama zipi? Pia, ulisema kuna level ukifika unauza roho na nafsi ili usiwakimbie, vipi kuhusu wewe, umefikia level hizo? M.engi je?
 
You want to say no one influential on earth without being one of them? Trump, is he one of them? Kim Jong? Putin je?
Sio kila influencer ni freemason hapana, ni wewe na akili yako umekubali kuuza nafsi upate pesa, nguvu, umaarufu, au unataka nini...?
 
Back
Top Bottom