Kwa christian bella mamelody au mc babu ayubuYule Nyoka wa Adam na Eva aliitoa wapi Ile sauti Hadi akamshawishi Eva ale tunda?
Chui unaweza kulala naye juu ya mti usijue halafu ye akakuona akakuacha tu mpaka kuna kucha unafungua macho anakupita miguuni anaelekea kwenye mishe zake.Nilishawahi kukutana na chui uso kwa uso bin vu nikafreeze kwa woga haoooo tukatazamana tu kwa sekunde kadhaa halafu huyo kimya kimya akaenda zake. Tangu hapo navutiwa sana na mnyama huyu msiri; na ningependa kujua tabia zake za msingi. Huwa anashambulia binadamu? Anapenda kuwinda wakati gani? Maisha yake yakoje kwa ujumla?
chui ni mnyama mwenye aibu sana.yupo kwenye kundi la carnivore(wala nyama)jamii ya paka.chui ni mnyama solitary(wanaishi kibachela).chui maisha yake yote anapendelea kuishi juu ya miti hii ni sababu ya food competition.ana uwezo wa kupandisha juu ya mti mnyama mwenye uzito mara 3 kumzidi.kumuona chui ni bahati sana sababu wana aibu na wanapenda kujificha sana.ikitokea amepata mwanamke basi anamtia mimba kisha kila mtu anaenda na 50 zake.anatumia mkojo na kinyesi kuweka alama ya mipaka yake ina maana ukikatiza katika home range(territory) yake anakupasua.anawinda kwa kuvizia na kushtukiza(ambush & stalk).yapo mengi zaidi utazidi kujifunza mbeleni hiyo ni briefing tuuNilishawahi kukutana na chui uso kwa uso bin vu nikafreeze kwa woga haoooo tukatazamana tu kwa sekunde kadhaa halafu huyo kimya kimya akaenda zake. Tangu hapo navutiwa sana na mnyama huyu msiri; na ningependa kujua tabia zake za msingi. Huwa anashambulia binadamu? Anapenda kuwinda wakati gani? Maisha yake yakoje kwa ujumla?
asante kwa swali zuri sana.fisi miguu ya MBELE ni mirefu na ya nyuma mifupi hivi inamsaidiaje kwenye maisha yake ya kila siku..sababu kila mnyama anapata faida ya vile alivyoumbwa..
mnyama yoyote mkali duniani usimpe nafasi moja tuu.kama unamwangalia ukapepesa jicho pembeni kidogo tuu umekwisha.tunavyojuwa jamii ya paka wote wana aibu sana ukiweza kumwangalia usoni bila kupepesa atakuacha.ila usijaribu hicho kitu porini sababu hili ni angalizo tuu.Chui unaweza kulala naye juu ya mti usijue halafu ye akakuona akakuacha tu mpaka kuna kucha unafungua macho anakupita miguuni anaelekea kwenye mishe zake.
Kuna wanyama nuksi yani hata kama limeshiba likikukuta litapata tamaa kutaka kukuua likufanye akiba ya msosi wa kesho
hapana wapo simba sehemu zingine wanafanya hivyo.kwa manyara sababu zipo nyingi.manyara ni eneo lenye misitu hyo wanapanda juu ili kutafta kitoweo.pili manyara ina unyevu sana chini hvyo wanakimbia ule ubaridi na wale siafu.kingine miti ya wanayopanda simba haiko vertical iko horizontal km ilivyo ya manyara.Nasikia Simba waliopo kwenye mbuga ya Manyara ndio Simba pekee duniani wenye uwezo wa kupanda na kukaa juu ya miti..
Unaweza kueleza ni kwa sababu gani?
Mkuu ningependa unijuze kuhusu hili.ningependa unieleze kuhusu nyoka koboko na nimekua nikisikia ni nyoka anayeweza kukimbia 20km per hour na je kuna ukweli ni nyoka wa kuogopwa zaid ukiwa mbugani?