Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana hana sumu mkiani.ispokuwa mate yake yanaweza kugeuka sumu pale akikuuma.ile documentary hakumpiga na mkia bali alimuuma mguuni na kumsababishia kifo.kisha kumfamya kitoweoHivi mkia wa kenge una Sumu maana kuna documentary moja niliona ya hao kenge wakubwa (komodo) mmoja wpo alimpiga nyati mkubwa kwa kutumia mkia then kenge akakaa pemben kusikilizia.Baada ya muda mfupi yule nyati akadanja.
Habari waungwana.
leo nimeweka mezani kwa yoyote mwenye swali interest kuhusu wanyama wa porini.uzi huu ni muhimu kujifunza tabia zao maisha yao kama una swali linakutatiza jiskie free uliza kwa kadiri nnavyoweza nitakujibu au ataekuwa na ufahamu zaidi humu jukwaani atakujibu.ni vizuri kufahamu tabia na mienendo ya wanyama wetu ili kuubust utalii wa ndani...
karibuni wote.sina mengi kwa kuanza tutakuwa na mengi ya kujifunza
Niongee swali hapa..Hivi nyoka ni vipofu au wanaona? na kama wanaona kwanini anaweza akakupitia miguuni kwako? ukiwa umetulia sehem moja? pili kazi ya ulimi wake ni nini? anapoutoa na kurudisha ndani? na kuna baadhi ya nyoka wanakuwa na kama mkia Fulani unachezecheza kwa nyuma..inawasaidia nn? na wake nyoka wa vichwa viwili inakuwa ni ulemavu au ndy maumbile yao? hao nyoka wanaitwaje?
Nakazia mkuu. Anajivua gamba baada ya muda gani?Niongee swali hapa..
Kwanini nyoka wanavua magamba yao?
kwa wanyama tembo anaishi miaka mingi kuliko wanyama wengine ukiacha KOBE.tembo hufika zaidi ya miaka 70 porini lakini akifugwa hufika hata 90.factor kubwa sio sababu ya ukubwa wao sababu ukisema ukubwa mbona kobe mdogo lakini anaishi zaidi ya tembo??!!nadhani ni nature tuu ndo inaamua nani aishi zaidi ya mwingine.yako mambo ya kujiuliza mfano carnivores(wala nyama)wanazaa watoto wawili hadi wengine watoto 12.ukirudi wanyama wanaokula majani utakuwa wamezidi wingi mara 1000% ingawa wanazaa mtoto 1 na kukaa kipindi kirefu kabla ya kubeba mimba tena!.lifespan yao haijapishana sana kati ya hawa wala nyama na wala majani!.kwanini wala majani wawe wengi??!!nitakupa factors kidogo nnazojua.carnivores wanapozaa mfano kama simba watoto wanakuwa bado tegemezi kwa mama zao kuanzia chakula hadi ulinzi kitu kinachopelekea watoto kuwa vulnerable sana.watoto wa carnivores huchukua mda mrefu sana hadi kuweza kujisimamia wenyewe bila uangalizi wa wazazi.tukirudi kwa grazzers(wala majani)hata mbuzi na kondoo tunawafuga mtoto akizaliwa tuu ndani muda huo huo anakuwa active.anaweza kukimbia na mamaake popote wanapoenda kama ilivyo kwa nyumbu!!umeelewa hiyo point muhimu sana.watoto mfano wa simba au chui ni kuanzia wiki kadhaa mbele ndo hufumbua macho na kuweza hata kutembea.hii inawafanya watoto wa carnivores kuangukia kwenye mikono ya wanyama wengine wakali na kuliwa.Ni mnyama gani huishi maisha marefu zaidi kuliko wanyama wote? na kuna sababu yeyote ya kitaalamu ambayo imereason kwanini yeye aishi maisha marefu zaidi kuliko wengine?
Thanks a lot mkuu kwa hii elimu uliyonipa,kwa wanyama tembo anaishi miaka mingi kuliko wanyama wengine ukiacha KOBE.tembo hufika zaidi ya miaka 70 porini lakini akifugwa hufika hata 90.factor kubwa sio sababu ya ukubwa wao sababu ukisema ukubwa mbona kobe mdogo lakini anaishi zaidi ya tembo??!!nadhani ni nature tuu ndo inaamua nani aishi zaidi ya mwingine.yako mambo ya kujiuliza mfano carnivores(wala nyama)wanazaa watoto wawili hadi wengine watoto 12.ukirudi wanyama wanaokula majani utakuwa wamezidi wingi mara 1000% ingawa wanazaa mtoto 1 na kukaa kipindi kirefu kabla ya kubeba mimba tena!.lifespan yao haijapishana sana kati ya hawa wala nyama na wala majani!.kwanini wala majani wawe wengi??!!nitakupa factors kidogo nnazojua.carnivores wanapozaa mfano kama simba watoto wanakuwa bado tegemezi kwa mama zao kuanzia chakula hadi ulinzi kitu kinachopelekea watoto kuwa vulnerable sana.watoto wa carnivores huchukua mda mrefu sana hadi kuweza kujisimamia wenyewe bila uangalizi wa wazazi.tukirudi kwa grazzers(wala majani)hata mbuzi na kondoo tunawafuga mtoto akizaliwa tuu ndani muda huo huo anakuwa active.anaweza kukimbia na mamaake popote wanapoenda kama ilivyo kwa nyumbu!!umeelewa hiyo point muhimu sana.watoto mfano wa simba au chui ni kuanzia wiki kadhaa mbele ndo hufumbua macho na kuweza hata kutembea.hii inawafanya watoto wa carnivores kuangukia kwenye mikono ya wanyama wengine wakali na kuliwa.
nyoka anatumia ulimi wake kama antena ili kupata frequences ya kitu kilichopo mbele yake.sense of vision ya nyoka ni ndogo sana.anapotoa ulimi na kuurudisha ndani inapeleka straight kwenye ubongo utambuzi wa kilichopo mbele na kumpa decision ya kufanya.wale nyoka wenye kimkia kinacheza wanaitwa VIPER na PUFFY ADDER kile kimkia akitingisha anatoa taarifa ya uwepo wake pale ili usisogelee na kumfanya ajihami.hakuna nyoka wenye vichwa viwili hizo ni TALES tu.labla ikitokea ni abnomalities tuu au kijenetiki.ila nyoka na wanyama ALBINO wapo.Hivi nyoka ni vipofu au wanaona? na kama wanaona kwanini anaweza akakupitia miguuni kwako? ukiwa umetulia sehem moja? pili kazi ya ulimi wake ni nini? anapoutoa na kurudisha ndani? na kuna baadhi ya nyoka wanakuwa na kama mkia Fulani unachezecheza kwa nyuma..inawasaidia nn? na wake nyoka wa vichwa viwili inakuwa ni ulemavu au ndy maumbile yao? hao nyoka wanaitwaje?
Nakazia,sababu kuu ya nyoka kujivua Gamba ni kwasababu ngozi yake inatanuka pale anapomeza window na kusinyaa Akisha digest,kufanya hivi Mara kwa Mara hupelekea ngozi kuchoka hivyo anatengeneza nyingine na kutoa iliyo looseile ngozi inakuwa imezeeka hivyo anaitoa inabaki ingine mpya.hamna sababu ingine
Kwa maana hii naweza sema Kobe anaishi muda mrefu zaidi kuliko Tembo..kwa wanyama tembo anaishi miaka mingi kuliko wanyama wengine ukiacha KOBE.tembo hufika zaidi ya miaka 70 porini lakini akifugwa hufika hata 90.factor kubwa sio sababu ya ukubwa wao sababu ukisema ukubwa mbona kobe mdogo lakini anaishi zaidi ya tembo??!!nadhani ni nature tuu ndo inaamua nani aishi zaidi ya mwingine.yako mambo ya kujiuliza mfano carnivores(wala nyama)wanazaa watoto wawili hadi wengine watoto 12.ukirudi wanyama wanaokula majani utakuwa wamezidi wingi mara 1000% ingawa wanazaa mtoto 1 na kukaa kipindi kirefu kabla ya kubeba mimba tena!.lifespan yao haijapishana sana kati ya hawa wala nyama na wala majani!.kwanini wala majani wawe wengi??!!nitakupa factors kidogo nnazojua.carnivores wanapozaa mfano kama simba watoto wanakuwa bado tegemezi kwa mama zao kuanzia chakula hadi ulinzi kitu kinachopelekea watoto kuwa vulnerable sana.watoto wa carnivores huchukua mda mrefu sana hadi kuweza kujisimamia wenyewe bila uangalizi wa wazazi.tukirudi kwa grazzers(wala majani)hata mbuzi na kondoo tunawafuga mtoto akizaliwa tuu ndani muda huo huo anakuwa active.anaweza kukimbia na mamaake popote wanapoenda kama ilivyo kwa nyumbu!!umeelewa hiyo point muhimu sana.watoto mfano wa simba au chui ni kuanzia wiki kadhaa mbele ndo hufumbua macho na kuweza hata kutembea.hii inawafanya watoto wa carnivores kuangukia kwenye mikono ya wanyama wengine wakali na kuliwa.
Bro unamaanisha chui Serengeti lagerNilishawahi kukutana na chui uso kwa uso vu bin vu nikafreeze kwa woga haoooo tukatazamana tu kwa sekunde kadhaa halafu huyo kimya kimya akaenda zake. Tangu hapo navutiwa sana na mnyama huyu msiri; na ningependa kujua tabia zake za msingi. Huwa anashambulia binadamu? Anapenda kuwinda wakati gani? Maisha yake yakoje kwa ujumla?
Ni mnyama gani huishi maisha marefu zaidi kuliko wanyama wote? na kuna sababu yeyote ya kitaalamu ambayo imereason kwanini yeye aishi maisha marefu zaidi kuliko wengine?
Sawa mkuu....lakini bado hujafafanua,,nyoka anaona au haoni?nyoka anatumia ulimi wake kama antena ili kupata frequences ya kitu kilichopo mbele yake.sense of vision ya nyoka ni ndogo sana.anapotoa ulimi na kuurudisha ndani inapeleka straight kwenye ubongo utambuzi wa kilichopo mbele na kumpa decision ya kufanya.wale nyoka wenye kimkia kinacheza wanaitwa VIPER na PUFFY ADDER kile kimkia akitingisha anatoa taarifa ya uwepo wake pale ili usisogelee na kumfanya ajihami.hakuna nyoka wenye vichwa viwili hizo ni TALES tu.labla ikitokea ni abnomalities tuu au kijenetiki.ila nyoka na wanyama ALBINO wapo.