adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,638
- Thread starter
- #21
k
koboko(black mamba)ni nyoka hatari sana.black mamba ana rangi ya majivu ila jina limetokana kuwa na mdomo mweusi.tone lake moja la sumu linaweza kuua watu 25 adult in a matter of minutes.sumu yake ni neurotoxin ambayo inaenda ku shut down mfumo wote wa kupumua uliopo kwenye ubongo.ana urefu hadi kufikia mita 4.ni wepesi na anaweza kukimbia spidi kubwa akitumia nusu tu ya mwili wake.anaweza kuruka kutoka mti mmoja hadi mwingine.ila sivyo kama watu wanavyoogopa ni nyoka ambae yuko bize na mambo yake hadi uingie anga zake ndio ana chajiningependa unieleze kuhusu nyoka koboko na nimekua nikisikia ni nyoka anayeweza kukimbia 20km per hour na je kuna ukweli ni nyoka wa kuogopwa zaid ukiwa mbugani?