SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 611
Naomba nimsaidie maana naona kaleta mada chokozi lakini hana majibu, VRN navyofahamu mimi ni vat registration number kwa lugha mama ni namba ya usajili wa vat.Faida yake ni kama umesajiliwa na kodi ya ongezeko la thamani yaani vat risiti zote za mauzo yako au manunuzi inatakiwa namba ya muuzaji na mnunuzi kama wote ni vat register ionekane kwenye risiti sababu ukiuza sana kuliko kununua unapeleka tra hiyo vat na kinyume chake ukinunua sana na ukawa haujauza sana basi ile tofauti ya manunuzi na uuzaji unarejeshewa na tra.Ili uweze rejeshewa risiti lazima iwe na hiyo vrn ya aliyekuuzia na ya kwako kwenye risiti ya manunuzi.VRN Ina umuhimu gani?
Utaratibu wa kufungua kampuni ni ulele ila wakati wa kufungua ndiyo utaeleza aina ya biashara yako kwenye memorandum of association. utajisajili brella baadaye TRANahitaji kujua process za Kusajili ecommerce company. Mfano kama Amazon/Alibaba ambazo ni mtu wa kati hazjna maduka.
Mkali wao wadau tunaomba majibu basi maana umesema tuulize sasa ni aje?Kama una swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa usajili wake, kufanya mabadiliko, kodi za TRA na chochote kile kinachohusu kampuni kwa BRELA na TRA uliza hapa nitakujibu.
Karibu
Gharama ya kusajili limited coy ni shilingi ngapi?
Nahitaji kujua process za Kusajili ecommerce company. Mfano kama Amazon/Alibaba ambazo ni mtu wa kati hazjna maduka.
VRN Ina umuhimu gani?
Mkali wao wadau tunaomba majibu basi maana umesema tuulize sasa ni aje?
Mbona hajib au ndio anajikoki[emoji848]
Una link yenye maelezo mwanzo mwisho na mifano ya jinsi ya kusajili kampuni au biashara, gharama nkUliza mkuu mengine yote nishajibu
Nifanyeje ili nifungue biashara ya kukopesha fedha?Kama una swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa usajili wake, kufanya mabadiliko, kodi za TRA na chochote kile kinachohusu kampuni kwa BRELA na TRA uliza hapa nitakujibu.
Karibu
Nifanyeje ili nifungue biashara ya kukopesha fedha?
Una link yenye maelezo mwanzo mwisho na mifano ya jinsi ya kusajili kampuni au biashara, gharama nk
Kusajili kampuni kea ORS Kuna vikwazo gani, kampuni yangu tangu 2016 nahangaikia ORS sipati usajili japo ilikuwa na usajili was awali kabla ya ORS shida Nini,nifanyeje? Maana Kama Ni gharama nimetuma za kutosha Niko hoi