SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 611
- Thread starter
- #21
Nawezaje kuendesha kampuni bila kulipa kodi.
Utaratibu wa kupeleka hesabu ya mapato kila mwaka inafanyika(mpangilio).
Unaweza kuwakata wafanyakazi kodi ya serekali kwenye mishahara, na Ninapoajiri natoa ripoti wapi?
1. Huwezi kuendesha kampuni bila kulipa kodi, unless hiyo kampuni imesimama kufanya biashara kwa muda huo ndio hutolipa kodi, ila kama inafanya biashara kodi lazima ulipe
2. PAYE (Pay As You Earn) inakatwa katika mshahara wa mfanyakazi, ila ni kwa wafanykazi ambao mshahara wao (baada ya makato y NSSF) ni kuanzia sh 270,001 na kuendelea.. mfanyakazi anaepokea chini ya hapo hutakiwi kumkata PAYE
3. Unapoajiri unaandaa mikataba, mamlaka zitafahamu kuwa umeajiri pale utapoongeza idadi ya wafanyakazi katika sehem tofauti mf. NSSF, WCF, TRA n.k ndio maana inakupasa kuandaa Payroll ya wafanyakazi kila mwezi ili taarifa kama hizo ziwe bayana