SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 611
- Thread starter
-
- #261
Naomba hints nataka kuanzisha kampuni inayofanya kazi kama mtandao wa kupatana.com
Takupigie kesho Mkuu.Asante sanaTutafutane mkuu tunaweza kufanya jambo sometimes
Good work.
I am here to learn
Nina deni lao kubwa nafikiria niwaingie kwa gia gani wapunguze faini waniachie deni tuKuna nini tena mkuu!?
Nina deni lao kubwa nafikiria niwaingie kwa gia gani wapunguze faini waniachie deni tu
Hongera mkali wao kwa elimu hii ya bure kabisa ambayo kuipata kwa wengine ni gharama kubwa:
Swali langu ni nilikuwa na biashara kwenye group la presumptive tax payers ila baada ya mambo kutoenda sawa niliifunga mwaka 2021 mwezi wa sita kienyeji bila kufuata taratibu za kisheria za TRA.
Hivyo kuanzia mwaka 2021 hadi leo sijafanyiwa assessment yoyote na TRA.
Lakini hapo hapo ninazo line za uwakala wa mitandao ya simu ambazo bado zinapiga kazi kama kawa na ile commission inakatwa kodi kila mwezi.
Swali je nikienda TRA ili kuifunga ile biashara kisheria watanipiga penalty yeyote na je hii kodi inayokatwa kwenye commission inaweza angaliwa kupunguza deni lolote la kodi.
Habari yako mkuu.
Naomba unifahamishe kuhusu requirements za kuanzisha kampuni ya Cargo agent.
Mkuu,hebu nisaidie kitu hapa.
Nimechukua TIN ya kampuni mwaka 2020 November, nikaja kufanyuwa assessment mwezi march na nikalipa kabisa ya mwezi huo march,
Sasa mwaka huu wakati nafanya return,kumbe account yangu ilikuwa na shida,nikawafata..wamerekebisha,nimekuta nadaiwa penalty ya kutokufile toka 2020.
Hapo inakuaje?
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Nakupigia mkuuHapo kuna barua unapaswa kuandika ili warekebishe efilling account yako na hiko kipengele cha 2020 kiondoke… Usifanye chochote bila kuwaandikia barua hiyo ili warekebishe na mkubaliane, maana ukifile tu na hiyo penalty ikajipiga basi utakua ushakuza mambo.. Kwa maelezo zaidi nicheki whatsapp au kawaida 0714499248
Mdau, mie nataka kuongeza mwanahisa....imekuwa changamoto kidogo.
Nichek inbox tupeane kazi.
Asante.
Habari Mkuu na mm nimefungua Kampuni Sasa nataka kuongeza jina la biashara ingine ambayo nimefungua kupitia hii kampuni ya mwanzo yaan hii iwe tawi la kampuni Ile ya kwanza
1. Je holding company inaweza miliki 100% ya hisa za subsidiary company fulani bila kuwa na mwanahisa mwingine? Nimeuliza hivi maana nilisikia kampuni inamilikiwa na shareholder wawili au zaidi.Hapana, Group of Companies ni kampuni moja ambayo inamiliki kampuni zingine.. Yaani unakuta shareholder wa kampuni ni kampuni nyengine, na hiyo kampuni inamiliki zaidi ya kampuni 1 ndio inakua Group of Companies