Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
61fcf110-a084-11f1-bfeb-dfb02ea642ef.jpg (1).webp

Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.

Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.

Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.

Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata ulinzi wa Serikali na huduma za muhimu. Hata angevuliwa cheo cha Umakamu au kufukuzwa kabla ya kujiuzulu.

Hata ajiunge CHADEMA ataendelea kulindwa

Sheria ya Political Service Retirement Benefits Act, Cap. 225 (R.E. 2023) inasema kwamba Makamu wa Rais wa zamani pamoja na familia yake ya karibu watapatiwa ulinzi na huduma nyingine muhimu za usalama.

Pia sheria hiyo inampa Makamu wa Rais wa zamani:

1. Pensheni ya kila mwezi sawa na 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani.

2. Gratuity ya 50% ya jumla ya mishahara aliyopokea akiwa madarakani.

Nchimbi sio Polepole. Labda wambambikizie kesi kama wanavyo taka. Napo tutamtetea.

Hivi kuanzia huko JKT na kukaa mida wote kwenye Siasa, kwamba hana support ya mtu yoyote wa Maana?
 
View attachment 3658308

Rubbish ,katiba ipi mnayoongelea ninyi wapuuz ? ccm inafuata katiba au maslahi binafsi ya matumbo yao ?
 
Mkuu ulikuwa umesafiri anga za juu nini? Siku hizi Tanzania kuna katiba au kuna kiongozi anayefuata katiba?
 
View attachment 3658308
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.

Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.

Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.

Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata ulinzi wa Serikali na huduma za muhimu. Hata angevuliwa cheo cha Umakamu au kufukuzwa kabla ya kujiuzulu.

Hata ajiunge CHADEMA ataendelea kulindwa

Sheria ya Political Service Retirement Benefits Act, Cap. 225 (R.E. 2023) inasema kwamba Makamu wa Rais wa zamani pamoja na familia yake ya karibu watapatiwa ulinzi na huduma nyingine muhimu za usalama.

Pia sheria hiyo inampa Makamu wa Rais wa zamani:

1. Pensheni ya kila mwezi sawa na 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani.

2. Gratuity ya 50% ya jumla ya mishahara aliyopokea akiwa madarakani.

Nchimbi sio Polepole. Labda wambambikizie kesi kama wanavyo taka. Napo tutamtetea.

Hivi kuanzia huko JKT na kukaa mida wote kwenye Siasa, kwamba hana support ya mtu yoyote wa Maana?
Acheni kumjaza ujinga, mtamponzesha atapoteza hata hayo mafao

Kwani CCM wanajali Katiba inasema nini?
 
Theory
 
Hawawezi kumuondolea ulinzi kwani kwa sasa kazi ya hao walinzi ni kumdukua kila afanyalo.
 
Anaweza kuwekwa chini ya ulinzi pia, huyu kuna kila dalili ya kuja kufanya uhaini
 
Back
Top Bottom