Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

Ulizi kwa Emmanuel Nchimbi si Matakwa ya Samia wala CCM bali Katiba

Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba
Mkuu 'figga' siku hizi unaandika mambo ya kushangaza kidogo.
Kwani katiba ni nini; siyo makaratasi?
Hukumsikia Samia akiyasema hayo maneno?
Huyo Samia sasa hivi yupo madarakani kwa katiba gani iliyomweka hapo alipo?
 
Kwani katiba ni nini; siyo makaratasi?
Ni makalatasi kwa Serikali hii. Watawala hubadilika na watu hushitakiwa na kunyongwa hata baada ya miaka kadhaa. Mifano ipo.
 
Back
Top Bottom