figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Rubbish ,katiba ipi mnayoongelea ninyi wapuuz ? ccm inafuata katiba au maslahi binafsi ya matumbo yao ?View attachment 3658308
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata ulinzi wa Serikali na huduma za muhimu. Hata angevuliwa cheo cha Umakamu au kufukuzwa kabla ya kujiuzulu.
Hata ajiunge CHADEMA ataendelea kulindwa
Sheria ya Political Service Retirement Benefits Act, Cap. 225 (R.E. 2023) inasema kwamba Makamu wa Rais wa zamani pamoja na familia yake ya karibu watapatiwa ulinzi na huduma nyingine muhimu za usalama.
Pia sheria hiyo inampa Makamu wa Rais wa zamani:
1. Pensheni ya kila mwezi sawa na 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani.
2. Gratuity ya 50% ya jumla ya mishahara aliyopokea akiwa madarakani.
Nchimbi sio Polepole. Labda wambambikizie kesi kama wanavyo taka. Napo tutamtetea.
Hivi kuanzia huko JKT na kukaa mida wote kwenye Siasa, kwamba hana support ya mtu yoyote wa Maana?
Mkuu ulikuwa umesafiri anga za juu nini? Siku hizi Tanzania kuna katiba au kuna kiongozi anayefuata katiba?View attachment 3658308
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata ulinzi wa Serikali na huduma za muhimu. Hata angevuliwa cheo cha Umakamu au kufukuzwa kabla ya kujiuzulu.
Hata ajiunge CHADEMA ataendelea kulindwa
Sheria ya Political Service Retirement Benefits Act, Cap. 225 (R.E. 2023) inasema kwamba Makamu wa Rais wa zamani pamoja na familia yake ya karibu watapatiwa ulinzi na huduma nyingine muhimu za usalama.
Pia sheria hiyo inampa Makamu wa Rais wa zamani:
1. Pensheni ya kila mwezi sawa na 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani.
2. Gratuity ya 50% ya jumla ya mishahara aliyopokea akiwa madarakani.
Nchimbi sio Polepole. Labda wambambikizie kesi kama wanavyo taka. Napo tutamtetea.
Hivi kuanzia huko JKT na kukaa mida wote kwenye Siasa, kwamba hana support ya mtu yoyote wa Maana?
Acheni kumjaza ujinga, mtamponzesha atapoteza hata hayo mafaoView attachment 3658308

TheoryView attachment 3658308

🤣🤣🤣🤣 nchi hii basi tuSumaye aliambiwa na Jiwe mpaka atembelee kandambili Aka MALAPA AKASALIMU AMLI
Hahahaha hatari sana.Sumaye aliambiwa na Jiwe mpaka atembelee kandambili Aka MALAPA AKASALIMU AMLI
Kwani CCM ndo wanatekeleza katiba? CCM haina cha kufanya na katiba sababu katiba ni ya wananchi. Walioapa kulinda katiba ni Jeshi.. Wengine wanatii tuAcheni kumjaza ujinga, mtamponzesha atapoteza hata hayo mafao
Kwani CCM wanajali Katiba inasema nini?
Hawawezi kumuondolea ulinzi kwani kwa sasa kazi ya hao walinzi ni kumdukua kila afanyalo.View attachment 3658308
Kuna watu Wanahisi kwamba Samia Hassan au CCM wanaweza kumuondolea Ulinnzi Emmanuel Nchimbi.
Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba.
Sio yeye tu anapata ulinzi, bali yeye na watu wake wa karibu.
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, Makamu wa Rais akistaafu kuacha wadhifa, anaendelea kupata ulinzi wa Serikali na huduma za muhimu. Hata angevuliwa cheo cha Umakamu au kufukuzwa kabla ya kujiuzulu.
Hata ajiunge CHADEMA ataendelea kulindwa
Sheria ya Political Service Retirement Benefits Act, Cap. 225 (R.E. 2023) inasema kwamba Makamu wa Rais wa zamani pamoja na familia yake ya karibu watapatiwa ulinzi na huduma nyingine muhimu za usalama.
Pia sheria hiyo inampa Makamu wa Rais wa zamani:
1. Pensheni ya kila mwezi sawa na 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliyeko madarakani.
2. Gratuity ya 50% ya jumla ya mishahara aliyopokea akiwa madarakani.
Nchimbi sio Polepole. Labda wambambikizie kesi kama wanavyo taka. Napo tutamtetea.
Hivi kuanzia huko JKT na kukaa mida wote kwenye Siasa, kwamba hana support ya mtu yoyote wa Maana?
Mkuu naona umerudi 😅Katiba ni kijitabu tu. Alisikika bibi mmoja
Jeshi halijasema hivyoKatiba ni kijitabu tu. Alisikika bibi mmoja
Hilo suala hata kule bungeni kwa wahuni hutosikia likijadiliwa!Hao wanajali katiba ? Wangekuwa wanajali katiba VP asingenyofolewa kirahisi hivyo!