K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Aug 28, 2026 #21 figganigga said: Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba Click to expand... Mkuu 'figga' siku hizi unaandika mambo ya kushangaza kidogo. Kwani katiba ni nini; siyo makaratasi? Hukumsikia Samia akiyasema hayo maneno? Huyo Samia sasa hivi yupo madarakani kwa katiba gani iliyomweka hapo alipo?
figganigga said: Hawana ubavu huo kwani analimdwa na Katiba Click to expand... Mkuu 'figga' siku hizi unaandika mambo ya kushangaza kidogo. Kwani katiba ni nini; siyo makaratasi? Hukumsikia Samia akiyasema hayo maneno? Huyo Samia sasa hivi yupo madarakani kwa katiba gani iliyomweka hapo alipo?
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Aug 28, 2026 Thread starter #22 Kalamu said: Kwani katiba ni nini; siyo makaratasi? Click to expand... Ni makalatasi kwa Serikali hii. Watawala hubadilika na watu hushitakiwa na kunyongwa hata baada ya miaka kadhaa. Mifano ipo.
Kalamu said: Kwani katiba ni nini; siyo makaratasi? Click to expand... Ni makalatasi kwa Serikali hii. Watawala hubadilika na watu hushitakiwa na kunyongwa hata baada ya miaka kadhaa. Mifano ipo.