Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Tafiti hupingwa kwa tafiti mpyaKwamujibu wa tafiti za taasisi gani??
kutoa ni moyoila Mimi sichangii
Sio ufipa?
Tafiti zangu zinaonesa umaarufu wa Chadema unazidi kuporomoka katika kipindi cha masaa 24.Tafiti hupingwa kwa tafiti mpya
Ndomaana una stroke. Na badoTafiti zangu zinaonesa umaarufu wa Chadema unazidi kuporomoka katika kipindi cha masaa 24.
Ndoto au ndio habari za kusadikika Meku aka mweneziView attachment 1384126
Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga .
Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene lililoambatana na mvua kubwa , kwa uwezo wa kawaida wa macho si rahisi kuona njia unayopita , bali kuna radi zinazopiga pamoja na hatari yake lakini ndio hutuongoza kuona njia ya kupita
Hukumu hii iliyojaa makandokando kwa viongozi wa Chadema ni kama radi ya usiku katikati ya mvua nzito usiku wa manane .
Kiukweli kwa sasa Chadema inajadiliwa zaidi kote duniani kuliko kabla ya hukumu hii
Ama kwa hakika UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA !
Blessings in disguiseView attachment 1384126

kutoa ni moyo Ila kutoa kwa chadema ni figokutoa ni moyo
kutoa ni kwa wenye kuwezakutoa ni moyo Ila kutoa kwa chadema ni figo
AmeeeenView attachment 1384126
Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga .
Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene lililoambatana na mvua kubwa , kwa uwezo wa kawaida wa macho si rahisi kuona njia unayopita , bali kuna radi zinazopiga pamoja na hatari yake lakini ndio hutuongoza kuona njia ya kupita
Hukumu hii iliyojaa makandokando kwa viongozi wa Chadema ni kama radi ya usiku katikati ya mvua nzito usiku wa manane .
Kiukweli kwa sasa Chadema inajadiliwa zaidi kote duniani kuliko kabla ya hukumu hii
Ama kwa hakika UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA !
Unataka nikutajie bei waliyolipwa ?