Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Changia kwnz viongoziiwakookwnzaa mkuu uje tenaa mpwaaUnataka nikutajie bei waliyolipwa ?
Changia kwnz viongoziiwakookwnzaa mkuu uje tenaa mpwaaUnataka nikutajie bei waliyolipwa ?
Nakuwekea kiasi alicholipwa mwampiki , au hutaki ?Changia kwnz viongoziiwakookwnzaa mkuu uje tenaa mpwaa
Hahahaaaaaaaaa lipwaaa naweweNakuwekea kiasi alicholipwa mwampiki , au hutaki ?
Walishakuja lakini wakakuta maji tuHahahaaaaaaaaa lipwaaa nawewe
TwawezaKwamujibu wa tafiti za taasisi gani??
Huyo unayedhani tutamuogopa unaweza kushangaa hafiki hata octoba , Mungu siyo fala .NAKWAMBIAA MAKELELEE NA MAJIGAMBOO YA KIJINGA MTAOGOPA KAMA CORONAA
Umeombwa wewe mjinga Kama huchangii kaa kimya matope wewe.si una kasma huko.ila Mimi sichangii
Hebu changia kwanza Leo usinywe Gongo..Kwamujibu wa tafiti za taasisi gani??
Bila kutoa chanzo cha taarifa yako, huu utakuwa upuuzi tu na kujiliwaza huku mkiumia. Nashangaa hata mods wa JF wako kimya tu na taarifa za kipuuzi kama hizi! Tukisema na wao ni nyumbu wa Ufipa tutakuwa tumekosea? Subirini na Bosi wenu Memo aswekwe ndani ndio mtatia akili!View attachment 1384126
Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga .
Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene lililoambatana na mvua kubwa , kwa uwezo wa kawaida wa macho si rahisi kuona njia unayopita , bali kuna radi zinazopiga pamoja na hatari yake lakini ndio hutuongoza kuona njia ya kupita
Hukumu hii iliyojaa makandokando kwa viongozi wa Chadema ni kama radi ya usiku katikati ya mvua nzito usiku wa manane .
Kiukweli kwa sasa Chadema inajadiliwa zaidi kote duniani kuliko kabla ya hukumu hii
Ama kwa hakika UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA !
Bila kutoa chanzo cha taarifa yako, huu utakuwa upuuzi tu na kujiliwaza huku mkiumia. Nashangaa hata mods wa JF wako kimya tu na taarifa za kipuuzi kama hizi! Tukisema na wao ni nyumbu wa Ufipa tutakuwa tumekosea? Subirini na Bosi wenu Memo aswekwe ndani ndio mtatia akili!
Hivi kwa hali ilipofikia kuna kiongozi wa Chadema anaweza kuogopa kufungwa ?Bila kutoa chanzo cha taarifa yako, huu utakuwa upuuzi tu na kujiliwaza huku mkiumia. Nashangaa hata mods wa JF wako kimya tu na taarifa za kipuuzi kama hizi! Tukisema na wao ni nyumbu wa Ufipa tutakuwa tumekosea? Subirini na Bosi wenu Memo aswekwe ndani ndio mtatia akili!
Subiri October utaona suprise
Mshana huyo kabeba hela humo au tunguli![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]