Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 881
- 2,569
Mbona ndugu zao walilia?Hivi kwa hali ilipofikia kuna kiongozi wa Chadema anaweza kuogopa kufungwa ?
kabisa
Duh!Bila kutoa chanzo cha taarifa yako, huu utakuwa upuuzi tu na kujiliwaza huku mkiumia. Nashangaa hata mods wa JF wako kimya tu na taarifa za kipuuzi kama hizi! Tukisema na wao ni nyumbu wa Ufipa tutakuwa tumekosea? Subirini na Bosi wenu Memo aswekwe ndani ndio mtatia akili!
Updates zimezimwa kwa sababu maalum , ili wachawi wasijue kila kitu , Masikini mkubwa wee !Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha
Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujiweka karibu na CCM Ni kujiweka mbali na Mungu
SwadaktaKujiweka karibu na CCM Ni kujiweka mbali na Mungu
Oktoba 2020, matokeo kwenye sanduku la kura, ndio kipimo sahihi na si uliyoandika humu.View attachment 1384126
Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga .
Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene lililoambatana na mvua kubwa , kwa uwezo wa kawaida wa macho si rahisi kuona njia unayopita , bali kuna radi zinazopiga , pamoja na hatari ya radi hizo ( wakati mwingine husababisha mauaji ) lakini mwanga wake ndio hutuongoza kuona njia ya kupita
Hukumu hii iliyojaa makandokando kwa viongozi wa Chadema ni kama radi ya usiku katikati ya mvua nzito usiku wa manane .
Kiukweli kwa sasa Chadema inajadiliwa zaidi kote duniani kuliko kabla ya hukumu hii
Ama kwa hakika UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA !
USA ndani ya Nyumba , kuwa makiniOktoba 2020, matokeo kwenye sanduku la kura, ndio kipimo sahihi na si uliyoandika humu.
Matokeo ya kura Tz sio kipimo cha kupendwa, you probably know that very wellOktoba 2020, matokeo kwenye sanduku la kura, ndio kipimo sahihi na si uliyoandika humu.
Tafiti zangu zinaonesa umaarufu wa Chadema unazidi kuporomoka katika kipindi cha masaa 24.
In case of anything , mtu wa kwanza kunyongwa hadharani ni huyu hapa
Mshana huyo kabeba hela humo au tunguli![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafiti zangu zinaonesa umaarufu wa Chadema unazidi kuporomoka katika kipindi cha masaa 24.
Chadema inajadiliwa kote duniani....what an exaggeration?!View attachment 1384126
Huu ndio ukweli uliotamalaki nchini Tanzania na nje ya nchi na hasa Ulaya na Marekani , Hakika kila penye giza iko namna ya kupata mwanga .
Kwa wale tuliopita vijijini kuna wakati tunachelewa mahali fulani hadi usiku lakini tunalazimika kuendelea na safari kwenye usiku huo wa giza nene lililoambatana na mvua kubwa , kwa uwezo wa kawaida wa macho si rahisi kuona njia unayopita , bali kuna radi zinazopiga , pamoja na hatari ya radi hizo ( wakati mwingine husababisha mauaji ) lakini mwanga wake ndio hutuongoza kuona njia ya kupita
Hukumu hii iliyojaa makandokando kwa viongozi wa Chadema ni kama radi ya usiku katikati ya mvua nzito usiku wa manane .
Kiukweli kwa sasa Chadema inajadiliwa zaidi kote duniani kuliko kabla ya hukumu hii
Ama kwa hakika UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA !
Ni hadithi ile ile ya kufikirika. Kama kuna ulaghai unafanyika kwenye masanduku ya kura, na upinzani umeshiriki mara nyingi tu bila kuchukua hatua thabiti. Je, wakipewa Dola uwezekano wa kuiuza nchi ni mkubwa, maana watabaki kulalamika tu.Matokeo ya kura Tz sio kipimo cha kupendwa, you probably know that very well
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnategemea wajomba kuwatengezea nyumba zenu, du!USA ndani ya Nyumba , kuwa makini