Umaarufu wa CHADEMA ndani na nje ya nchi wapanda mara nne zaidi kwa masaa 24 tu

Kama ni Marekani, mpambano wa Biden na Sanders ndio habari ya mujini sio habari za siasa vumbi.
 
NAKWAMBIAA MAKELELEE NA MAJIGAMBOO YA KIJINGA MTAOGOPA KAMA CORONAA
 
Masaa 48 wameshindwa kukusanya million 300?
Si wanasema wana wafuasi milioni 6?
Kweli chadema imekwisha

Juzi Yanga kwa masaa 10 walikusanya zaidi ya milioni 500 taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kutoa chanzo cha taarifa yako, huu utakuwa upuuzi tu na kujiliwaza huku mkiumia. Nashangaa hata mods wa JF wako kimya tu na taarifa za kipuuzi kama hizi! Tukisema na wao ni nyumbu wa Ufipa tutakuwa tumekosea? Subirini na Bosi wenu Memo aswekwe ndani ndio mtatia akili!
 

Save hilo povu ukafulie
 
Hivi kwa hali ilipofikia kuna kiongozi wa Chadema anaweza kuogopa kufungwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…