Umaarufu wa CHADEMA ndani na nje ya nchi wapanda mara nne zaidi kwa masaa 24 tu

Duh!
 
Oktoba 2020, matokeo kwenye sanduku la kura, ndio kipimo sahihi na si uliyoandika humu.
 
Makosa ya kiufundi ya CCM yanazidi kuwapaisha CDM.
 
Tafiti zangu zinaonesa umaarufu wa Chadema unazidi kuporomoka katika kipindi cha masaa 24.

Wivu utakuua dogo!! Ukweli na uongo ni mafuta na maji... Unakua na wivu kama mwanamke anayechangia bwana na mwenzake.
 
Chadema inajadiliwa kote duniani....what an exaggeration?!
 
Matokeo ya kura Tz sio kipimo cha kupendwa, you probably know that very well

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni hadithi ile ile ya kufikirika. Kama kuna ulaghai unafanyika kwenye masanduku ya kura, na upinzani umeshiriki mara nyingi tu bila kuchukua hatua thabiti. Je, wakipewa Dola uwezekano wa kuiuza nchi ni mkubwa, maana watabaki kulalamika tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…