chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Jana wakili msomi Tundi Antipas Mughwai Lissu alikuwa na ziara Dar es salaam katika maeneo ya Mbopo ambayo yana mgogoro kati ya wananchi na Shirika la Maendeleo Dar es salaam (DDC).
Mh. Lissu mwanzo wa hotuba yake aliwauliza wananchi waliofika kwamba, nyie ndio wakazi wa eneo hili pekee? Wengine wako wapi? Hii ni baada ya kuona wahudhuriaji wachache katika mkutano wake.
Siasa ni mawimbi, Sasa naona kwa upande wa Lissu, amefika hatua ya kupwa. Aachie chama kwa wengine.